CCM sasa imebaki na "wanasiasa mfumo"

CCM sasa imebaki na "wanasiasa mfumo"

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,563
Reaction score
28,524
Hali ya kisiasa ndani ya CCM kwa sasa haivutii sana.
Viwango vya ueledi kisiasa umeshuka sana, hadi sasa tumebaki na "wanasiasa mfumo".

Wanasiasa mfumo ni wale wanakuwa recycled toka kazi za kiserikali, na kurudishwa chamani.

Wanasiasa mfumo hawana mawazo ya kwao kisera wala kisiasa, wao ni kudadavua kile kilichopo kwenye mfumo, kama walivyokuwa wanatekeleza kazi za kiserikali.

Kwa mwanasiasa mfumo, ni mwiko kuongelea masuala ya wananchi bila idhini ya mfumo.

Huu uchaguzi ndio unao waumbua hawa wanasiasa mfumo.

Sasa hivi chama CCM ni wazi kinapitia wakati mgumu, tukiona vichwa mchachari vya kisiasa NDANI ya CCM waki challenge masuala ambayo wananchi na hata wana CCM wanajiuliza lakini hawapati majibu toka kwa hawa wanasiasa mfumo.


Ni rahisi kujiuliza, mbona Amos Makala, mmoja wa wanasiasa mfumo, akiwa Katibu Mwenezi, CCM, inamuwia vigumu kujibu challenges zinazotokea kiufasaha?

Jibu ni kukirufisha chama cha CCM kwa wananchi wenye chama chao.
 
Hivi Mwashambwa mfumo ulimkataa kabisa
 
CPA Amosi Makala yupo?
Alisema wakati fulani, CHADEMA inafanya mpango kuleta Ebola nchini....!
Mwanasiasa mfumo huyu!
 
Back
Top Bottom