Uchaguzi 2020 CCM sambazeni propaganda ya Corona, upinzani mtawazika kwenye kampeni

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar Wana CCM,

Kama mnavyojua Chadema na ACT walikua waneshupalia watu wafungiwe ndan wakati wa Corona so hii ni fimbo nzuri kwao ya kuwapiga kwenye kampeni.

Mnatakiwa mfanye hivi CCM

Sambazen hii propaganda hata kwa kutumia wasanii watu waelewe kuwa Chadema na ACT walitaka wawaangamize kwa kupitia corona
Na walipanga watu wakifungiwa ndani wawachochee ili wafanye vurugu

CCM mkiweza kucheza vizur na corona basi mmebutua
 
Habar Wana ccm
Kama mnavyojua chadema na Act walikua waneshupalia watu wafungiwe ndan wakat wa corona so hii ni fimbo nzur kwao ya kuwapiga kwenye kampen

Mnatakiwa mfanye ivi ccm

Sambazen hii propaganda hata kwa kutumia wasanii watu waelewe kua chadema na Act walitaka wawaangamize kwa kupitia corona
Na walipanga watu wakifungiwa ndani wawachochee ili wafanye vurugu

CCM mkiweza kucheza vizur na corona basi mmebutua
Hili mbona watanzania wote wanajua?
It will be a waste of time to tell people the obvious.
 
Ngoja na sisi tusambaze picha za waliopotea na kutekwa awamu.
Na Mwamba atoe ile video ya aliyerusha bomu na kuuwa makamanda wanne Arusha kipindi nchi inaongozwa na RAIS "mwanademokrasia" JK. Achana na yule muuza magazeti aliyeuwawa na kitu chenye ncha kali pale Morogoro au Mwangosi kule Iringa au kumwagiwa tindikali kule Tabora.
 
Corona bado ipo nyingi CCM tafuteni wajinga wa kuwafanyia hizo propaganda za kishamba toka kolomije na kijijini kwa akina Cyprian Musiba, le mutuz na wajinga wengine, kumbuka watanzania siyo wajinga hata magufuli mwenyewe alishasema
 
Corona ipo wengi bado wanakufa lakini watu wanaogopa kusema kwa Hofu ya kubambikiwa kesi ya kutoa takwimu ambazo Serikali imefunga mjadala
 
Duuuh!!Kweli nampongeza Mh. Rais kwa kuambua shule zifunguliwe,maana wajukuu na watoto ni full usumbufu majumbani,mitaani na mitandaoni.
Huko shuleni wataambukizana na walimu shule zitakuja kufungwa tena kama korea
 
Takwimu za corona ziko wapi? Wameambukizwa wangapi? Wamepona wangapi? Wamekufa wangapi? Je, ccm inakwenda kuvurunga takwimu za uchaguzi mkuu kama ilivyotuonesha kwenye corona?
 
Wanainchi wanajua ndio maana hakuna alie wasikiliza hao vibaraka wa mabeberu (chadema na act) raia walikuwa pamoja na mzalendo jembe magufuli
 
Back
Top Bottom