Miaka yote tumezoea wanafunzi kurisiti mitihani,mwaka huu Baraza la Mitihani ndilo linalorisiti!Duu!kidumu chama cha mapinduzi ya elimu
Kudadadeki hoyeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Taifa la kesho sijui litakuwaj?
mambo yote leo, hakunaga kesho!!!!
na kweli huoni wastaafu bado wanachaguliwa kuwa mabalozi,wanaona aibu tuu kuwapa vyeo marais wastaafu ila si unaona mawaziri wakuu kama warioba wanapewa vyeo pamoja na kustaafu.Ile tume ya uchaguzi kenya imeendeshwa na kijana below 40 safi kabisa! huku angepewa jaji mstaafu