Hahahaaaa mtoke tuu
CCM must Gooooo... No way
Tutoke mimi na nani? Mimi simo huko na sifuati mkumbo......
Utajijua, na hako kamchezo ndo kanampeleka madarakani na kura zote za watu tunaojitambua tunampa LOWASSA,watu hatukujali upuuzi wa silaha litakuwa hili shombo lako ambalo hata inzi hawalifuati.Unajua kuna kitu kimoja kinanifanya nishindwe kabisa kuielewa siasa ya kibongo bongo, na kunifanya nijiulize maswali kadhaa?!
Huyu Lowasa alipokuwa CCM watu si walikuwa wanamwona hafai hata chembe, sasa leo nashangaa baada ya kuingia upinzani watu haohao wamebadilika na huwaambii kitu kuhusu Lowasa. Na ukumbuke kuna baadhi ya watu walikuwa wanawapinga na hawawakubali upande wa upinzani, cha ajabu sasa na hata hao wasiokubali upinzani sasa wamehamia upinzani sababu ya Lowasa.
Sasa nyie watu mnaoifuatilia au sijui niseme mnaoijua siasa, hivi mna uhakika gani kama Lowasa ana mapenzi ya kweli na upinzani?
Mwenzenu anaweza akawa bado CCM damu amekuja upinzani kuwaharibieni, pengine ilionekana mna nguvu sana, sasa wakaamua kumtumia Lowasa kuja huko upinzani kuwapunguzeni nguvu.
Lowasa ni CCM damu na hawezi hata siku moja kuisaliti CCM kiukweli, ni kamchezo tu.
Hapana, hapa kuna mchezo unachezwa sema watu wengi hawajaamka
Tulia wewe Nyapu.Utajijua, na hako kamchezo ndo kanampeleka madarakani na kura zote za watu tunaojitambua tunampa LOWASSA,watu hatukujali upuuzi wa silaha litakuwa hili shombo lako ambalo hata inzi hawalifuati.
Tulia wewe Nyapu.
Sitaki mabishano wala malumbano na wewe.
Umesikia?
Unajua kuna kitu kimoja kinanifanya nishindwe kabisa kuielewa siasa ya kibongo bongo, na kunifanya nijiulize maswali kadhaa?!
Huyu Lowasa alipokuwa CCM watu si walikuwa wanamwona hafai hata chembe, sasa leo nashangaa baada ya kuingia upinzani watu haohao wamebadilika na huwaambii kitu kuhusu Lowasa. Na ukumbuke kuna baadhi ya watu walikuwa wanawapinga na hawawakubali upande wa upinzani, cha ajabu sasa na hata hao wasiokubali upinzani sasa wamehamia upinzani sababu ya Lowasa.
Sasa nyie watu mnaoifuatilia au sijui niseme mnaoijua siasa, hivi mna uhakika gani kama Lowasa ana mapenzi ya kweli na upinzani?
Mwenzenu anaweza akawa bado CCM damu amekuja upinzani kuwaharibieni, pengine ilionekana mna nguvu sana, sasa wakaamua kumtumia Lowasa kuja huko upinzani kuwapunguzeni nguvu.
Lowasa ni CCM damu na hawezi hata siku moja kuisaliti CCM kiukweli, ni kamchezo tu.
Hapana, hapa kuna mchezo unachezwa sema watu wengi hawajaamka
Kuna harufu ya CCM kuondoka madarakani.Miundombinu na mfumo wa chama umefeli kuleta tija kwa Wananchi,tena kwa miaka 54.Kwa kuwa Lowassa ameikana CCM na mambo yake yote basi tunamchagua kwa kura nyingi na za kutosha.
Tuombe uzima.harufu hapo hakuna kamchezo wala nini, soon lowassa ndio raisi wako.
25 Oct utakuja na majibu
Tuombe uzima.
Tutaona.
Halafu msije kusema kura zenu zimechakachuliwa