Hivyo inatakiwa kuwekewa vikwazo vya kimataifa,na kuvuliwa kwenye uongozi wa taifa kwani wataendelea kupata rasilimali za kujiimarisha kwenye ugaidi wa ndani ya mipaka ya taifa lao na nje ya mipaka.Hivyo ni muda kwa jumuia ya kimataifa kuchukua hatua stahiki.