CCM ni Tanzania bila CCM hakuna Tanzania

CCM ni Tanzania bila CCM hakuna Tanzania

CCM ipo madarakani kwasababu wananchi wameendelea kukiamini chama, vyama vya upinzani vinakuwa ila havijakomaa kiasi cha kuwashawishi wananchi waviamini
Inaonekana unaishi Yerusalemu na huyajui yanayoendelea, pole kwa hilo
 
CCM kipo kutokana na uwepo wa wasiojielewa kwa kiwango kikubwa.
 
Chama kingine kina jipambanua na Ukanda !!
mwenyekiti mmoja tangu vijana wengi hawaja balehe leo wana watoto shuleni yeye bado ni Mwenyekiti
.
Akiamka anadai Demokrasia hahaha
Unapokuwa mpinzani kuwa msafi
 
Tumia busara na kama hauna soma biblia utaipata hekima ya kuyatafakari mambo. Kabila nchi hii ni nani?
 
Ccm ni muungano wa ASP & TANU
Tanzania ni muungano wa T/NYIKA &ZANZIBAR

Sasa anayeuliza utafiti sijui haelewi,hajui au ni................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom