CCM ni Tanzania bila CCM hakuna Tanzania

DOFFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
425
Reaction score
233
Chama cha Mapinduzi

Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania

CCM ilizaliwa tarehe 5 Februari 1977 baada ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala cha Zanzibar wakati huo. Chama cha TANU kilikuwa kikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya Amaan Karume.

CCM kina wafuasi wengi vijijini.

Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha.

Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hiyo pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa.

Uchaguzi
CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania.

Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la Muungano na Baraza la wawakilishi, ingawa vyama vya upinzani vilitoa malalamiko kuhusu utekelezaji wa haki na uchakachuaji wa kura.

Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, 2005 na 2010 na viongozi walioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafuatao: Benjamin Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete. Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini.

Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:

  • Julius Nyerere, 1977 - 1990,
  • Ali Hassan Mwinyi 1990 - 1996
  • Benjamin Mkapa 1995 - 2005,
  • Jakaya Kikwete 2006 - 2015,
  • John Magufuli 2015-hadi sasa.
  • Je ni chama gani Tanzania mbadala wa CCM?je bila ccm imara mbadala wake ni chama gani?
  • Kwa maeneo ambayo CCM imedhofika vyama vingine vimetumia hila za aina mbalimbali mf; ukabila, ukanda, uwezo wa kipato,ufukara n.k
  • Lazima kama Taifa tufike mahali tukubaliane kama kiongozi hata kama haumkubali kwa sera, itikadi, kwa sura yake lakini kama anatenda vizuri ya umma yatupasa tumkubali.
 
Chama cha Mapinduzi

Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzani

CCM ilizaliwa tarehe 5 Februari 1977 baada ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala cha Zanzibar wakati huo. Chama cha TANU kilikuwa kikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya Amaan Karume.

CCM kina wafuasi wengi vijijini.

Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha.

Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hiyo pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa.

Uchaguzi
CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania.

Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la Muungano na Baraza la Wawakilishi, ingawa vyama vya upinzani vilitoa malalamiko kuhusu utekelezaji wa haki na uchakachuaji wa kura.

Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, 2005 na 2010 na viongozi walioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafuatao: Benjamin Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete. Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini.

Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:

  • Julius Nyerere, 1977 - 1990,
  • Ali Hassan Mwinyi 1990 - 1996
  • Benjamin Mkapa 1995 - 2005,
  • Jakaya Kikwete 2006 - 2015,
  • John Magufuli 2015-hadi sasa.
  • je ni chama gani Tanzania mbadala wa ccm?je bila ccm imara mbadala wake ni chama gani?
  • Kwa maeneo ambayo ccm imedhofika vyama vingine vimetumia hila za mbalimbali mf.ukabila,ukanda,uwezo wa kipato,ufukara n.k
  • Lazima kama Taifa tufike mahali tukubaliane kama kiongozi hata kama haumkubali kwa sera,itikadi, kwa sura yake lakini kama anatenda vizuri ya umma yatupasa tumkubali.
Ikubali wewe unaeona amekutendea mema.

Zao la ufuta nimeuza kg sh.1400 hadi sh.1600 kwa kg1.

Wakati bei ya serikali ilitamka sh.2100.

Zao la mbaazi Siku tatu zilizopita zimenunuliwa ah.1400
Leo imeshuka mpaka kufikia sh.700 kwa kg1

Sukari ilikuwa sh.1800 hadi sh2000 kwa kg1

Leo hii sukari sh.2800
Tena hapa kwa waziri mkuu wa awamu hii ya tano inauma sana.

Zahanati ilikuwa cheti sh.2000
Leo sh.5000

Halafu unaleta hapa huwo uccm wako lakini siwezi bisha labda wewe ndiyo wale wanufaika na ccm.

Lakini Mimi mkulima hali ni ngumu na maisha yanazidi kuwa magumu kwangu japo napambana lakini hakuna mafanikio.

Kile nikipatacho hakikidhi mahitaji kwa vile hata Pesa yenyewe imemezwa na mfumuko wa bei za bidhaa. huku mazao ya mkulima yakinunuliwa kwa bei ya kutupa.

Hapa nipo nasubiri bei ya korosho sijuwi itakuwaje.
 
Chama cha Mapinduzi

Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzani

CCM ilizaliwa tarehe 5 Februari 1977 baada ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala cha Zanzibar wakati huo. Chama cha TANU kilikuwa kikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya Amaan Karume.

CCM kina wafuasi wengi vijijini.

Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha.

Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hiyo pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa.

Uchaguzi
CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania.

Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la Muungano na Baraza la Wawakilishi, ingawa vyama vya upinzani vilitoa malalamiko kuhusu utekelezaji wa haki na uchakachuaji wa kura.

Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, 2005 na 2010 na viongozi walioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafuatao: Benjamin Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete. Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini.

Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:

  • Julius Nyerere, 1977 - 1990,
  • Ali Hassan Mwinyi 1990 - 1996
  • Benjamin Mkapa 1995 - 2005,
  • Jakaya Kikwete 2006 - 2015,
  • John Magufuli 2015-hadi sasa.
  • je ni chama gani Tanzania mbadala wa ccm?je bila ccm imara mbadala wake ni chama gani?
  • Kwa maeneo ambayo ccm imedhofika vyama vingine vimetumia hila za aina mbalimbali mf; ukabila, ukanda, uwezo wa kipato,ufukara n.k
  • Lazima kama Taifa tufike mahali tukubaliane kama kiongozi hata kama haumkubali kwa sera, itikadi, kwa sura yake lakini kama anatenda vizuri ya umma yatupasa tumkubali.
Mkubali ww!
 
Hiki chama CCM isingekua vyombo vya dola kingeshakufa siku nyingi Tanzania.Kiingeshakua historia.CCM haina pumzi ni chama mfu kitambo sana kiko mahututi, kimebaki kusukumwa na kina Jecha na Lubuva.
 
yule waziri mkubwa wa awamu ya NNE (ze pisanti child) kumbe alikuwa sahihi dah viboko tu.
 
Ccm ikubali isikubali,,,, ccm ya leo siyo ile ya Nyerere /Mwinyi,, ccm ya leo inajali maslahi ya chama kuliko ya Taifa,
 
Kweli ukiwa ng'ombe kasoro mkia inzi watakusumbua.
 
CCM ipo madarakani kwasababu wananchi wameendelea kukiamini chama, vyama vya upinzani vinakuwa ila havijakomaa kiasi cha kuwashawishi wananchi waviamini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom