CCM ni Mahututi-Dr Slaa

Dr Slaa mbona ueleweki naona unatapatapa ovyo. Wakati Kinana na Mangula, walivyoteuliwa ulisema wameletwa kuiba kura leo tena unakuja na habari mpya.
 
Ndio, Ukilinganisha picha za mkutano wa CCM Arusha mjini na zile za Karagwe. Utasema hivi CCM is dead indeed. Nashauri CCM wajipange kuwa wapinzani, na wasipofanya hivyo, watatoweka kama UNIP na KANU.

nimeona kwenye mkutano wa geita wa ndani, wanachama walikuwa nanalalamika kuwa wanachekwa kwa sera, mikakati na uongozi mbovu wa watendaji wa serikali ambao ni makada wa ccm .Hii inaonyesha kuwa ccm haina lake ni kapu bovu
 
Kama matusi na kejeli yanatoa ushindi basi slaa angekuwa mshindi mwaka 2010.mbona aliangukia pua na matusi yake hayo?
 
nimeona kwenye mkutano wa geita wa ndani, wanachama walikuwa nanalalamika kuwa wanachekwa kwa sera, mikakati na uongozi mbovu wa watendaji wa serikali ambao ni makada wa ccm .Hii inaonyesha kuwa ccm haina lake ni kapu bovu

nipe matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani kata 29 kote nchini. Ccm ilijizolea kata 22 tlp kata 1 cuf kata 1, cdm vikata vi5 kweli si kweli?
 
nimeona kwenye mkutano wa geita wa ndani, wanachama walikuwa nanalalamika kuwa wanachekwa kwa sera, mikakati na uongozi mbovu wa watendaji wa serikali ambao ni makada wa ccm .Hii inaonyesha kuwa ccm haina lake ni kapu bovu

nipe matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani kata 29 kote nchini. Ccm ilijizolea kata 22 tlp kata 1 cuf kata 1, cdm iliangukia pua kwa kuambulia vikata vi5 kweli si kweli?
 
hakika Mungu ni mkubwa ,hatimaye Tz tunakombolewa kutoka mikononi mwa makaburu weusi!
 
Sijui kama kuna watu makini wanajua au wameshajua athari za kuandika CDM badala ya CHADEMA vs CCM. Nimeshtuka sana kuona wapiganaji makini kama molemo na wengine hapa akina fmpiganaji na wengine kibao, wengine hata wameanza kuandika makala kwenye mainstream media, kwa kutumia abbreviation hiyo ya CDM! Hivinkuna chama hicho Tanzania?

Nawaombeni watu makini wote tutumie abbreviation sahihi, CHADEMA. So superb. Nawatakia uwasilishaji mwema wa hoja na mijadala.

Sawa kamanda Tumaini makene ushauri huu ni mzuri na tutauzingatia.......CHADEMAAAAAAAAA!!!!!
 
Dr Slaa hana mpinzani katika siasa za Tanzania.hilo liko wazi wamemtafuta kila njia wamemkosa sasa wameingia na kahoja kadhaifu ka kuoa.magamba kwishney.
 
Hongera Rais wangu Dk.Slaa, hata mimi ni mwiba kwa wananizunguka na wasiopenda mabadiliko, ni meanzisha kampeni kwenye kupitia simu yangu mkononi kwamba mtu nitakae tunza jina lazima awe mwana CHADEMA, kama siyo hivyo akawasiliane na magamba wenzie, hata baba yangu mdogo nimempa somo kwamba asiwapangishe nyumba yake wale wanaoshabikia mafisadi
 
Bravo chadema. Nimeongea na jamaa mmoja wa krgwe,anasema dr slaa ameiua ccm karagwe. Mtoto wa kada maarufu saby rwazo junior kaama ccm na amejiunga chadema. Babake nae kaamua kuachana na ccm eti atabak kuwa mwanaharakati. Kuna mwana jf chitambikwa hajatwambia yaliyojiri kaisho
 
CCM tayari ni chama cha upinzani kwa sababu sasa hivi wanatekeleza sera za CHADEMA.
 
Dr Slaa mbona ueleweki naona unatapatapa ovyo. Wakati Kinana na Mangula, walivyoteuliwa ulisema wameletwa kuiba kura leo tena unakuja na habari mpya.

Mtahangaika Sana, Jana Arusha niliona CCM hadi wanaenda kuchukua Wafanyakazi wa Kiwanda cha A to Z na nilipo muuliza mmoja wa wafanyakazi waliokuja na mabasi ya kiwanda alinijubu wao wamerazimishwa na malipo yao pekee ni kuto ingia night kwa siku moja,

Kiwanda Cha A to Z ndo kinaongoza kwa Kunyanyasa wafanyakazi Tanzznia, na sasa ndo nimejua ni kwa nini wale wahindi ni CCM damu damu
 
its time to converts people into votes.PERIOD. Kazi tushamaliza kama tukikamilisha hili wananchi watatoa hukumu sahihi
 
Mtahangaika Sana, Jana Arusha niliona CCM hadi wanaenda kuchukua Wafanyakazi wa Kiwanda cha A to Z na nilipo muuliza mmoja wa wafanyakazi waliokuja na mabasi ya kiwanda alinijubu wao wamerazimishwa na malipo yao pekee ni kuto ingia night kwa siku moja,

Kiwanda Cha A to Z ndo kinaongoza kwa Kunyanyasa wafanyakazi Tanzznia, na sasa ndo nimejua ni kwa nini wale wahindi ni CCM damu damu
nitakimulika kiwanda hiki!
 
CCM tayari ni chama cha upinzani kwa sababu sasa hivi wanatekeleza sera za CHADEMA.

Hawa jamaa ukitaka kujua ni wasanii, Jana Huku Arusha walimsimaisha Agrey wa Tamisemi, akaanza kutoka Povu kama kawaida kwa kusema waote wanao kula pesa za Serikali watashughulikiwa, Wakati hapo hapo uwanjani alikuwepo Meya na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha walio Fisadi pesa za Ufunguzi wa Jiji la Arusha,

So hawa jamaa wao kwa sasa ni mikwara tu, Kinana anapiga mikwara Mawaziri wakati yuko nao kwenye ziara zake, huko ni kuhadaa watanzania,

Nae waziri wa Viwanda anasimama na kuanza kuhubiri kufufu kiwanda cha General Tyre, bila kueleza wanachi hicho kiwanda kilikufa vipi na walio kiua wamechukuliwa hatua gani mapka sasa,

Back
Top Bottom