Majigambo ya hovyo kabisa. Zanzibar itaendelea kuwatesa mpaka mwisho wa dunia.Hiki Chama kitaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo na sababu ni kwamba CCM inaelewa Siasa za Dunia kuliko siajabu Chama chochote kile barani Afrika kama siyo sehemu kubwa ya Dunia!
Kwa mfano CCM imekuwa madarakani kwa miaka mingi sana ukilinganisha na Vyama vingine, lkn tofauti na vyama vya nchi nyingine kama vile ZANU-PF, KANU au sijui MPLA -Angola &Co. ambapo kwenye hizo Nchi unaweza kuita Viongozi wao Madikteta na hoja yako kuuzika kwa maana wanaongozwa na Kiongozi mmoja miaka yote, lkn hapa Tanzania kwetu huwezi kuita Udikteta kwa maana ndani ya CCM ni demokrasia pure, kwamba Uongozi una ukomo hivyo basi kila baada ya miaka 10 huja Kiongozi mpya, na hii ndo Janja kubwa ya CCM, hapa ndipo genius ya CCM ilipo!
Hivyo basi tofauti na Syria, Libya au sijui Kongo ambapo ilikuwa rahisi kujenga hoja ya Udikteta na kupata sapoti ktk nje hapa kwetu huwezi kupata sapoti kwa maana kila kitu kiko wazi na watu wa nje hawawezi kuikubali hoja ya Udikteta Tanzania kwa maana hakuna Kiongozi Dikteta kwa maana halisi ya neno na ndo maana ni ngumu sana Upinzani kuishinda CCM ndani na nje ya Nchi!
Na sasa kama hiyo haitoshi CCM inabadilika kuendana na muda sasa kuna damu mpya watu kama H.Pole pole ambao wana mawazo mapya jinsi ya kuijenga na kuiboresha CCM, the old guard imeeenda, hivyo basi ni ngumu sana kwa Upinzani kuweza kuishinda CCM si kwa kura au hata kwa hila tu labda kujaribu kupata sapoti nje ya nchi kwa maana CCM iko vizuri na ina demokrasia kubwa!
kuiba kura na kukataa tume huru ya uchaguziHiki Chama kitaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo na sababu ni kwamba CCM inaelewa Siasa za Dunia kuliko siajabu Chama chochote kile barani Afrika kama siyo sehemu kubwa ya Dunia!
Kwa mfano CCM imekuwa madarakani kwa miaka mingi sana ukilinganisha na Vyama vingine, lkn tofauti na vyama vya nchi nyingine kama vile ZANU-PF, KANU au sijui MPLA -Angola &Co. ambapo kwenye hizo Nchi unaweza kuita Viongozi wao Madikteta na hoja yako kuuzika kwa maana wanaongozwa na Kiongozi mmoja miaka yote, lkn hapa Tanzania kwetu huwezi kuita Udikteta kwa maana ndani ya CCM ni demokrasia pure, kwamba Uongozi una ukomo hivyo basi kila baada ya miaka 10 huja Kiongozi mpya, na hii ndo Janja kubwa ya CCM, hapa ndipo genius ya CCM ilipo!
Hivyo basi tofauti na Syria, Libya au sijui Kongo ambapo ilikuwa rahisi kujenga hoja ya Udikteta na kupata sapoti ktk nje hapa kwetu huwezi kupata sapoti kwa maana kila kitu kiko wazi na watu wa nje hawawezi kuikubali hoja ya Udikteta Tanzania kwa maana hakuna Kiongozi Dikteta kwa maana halisi ya neno na ndo maana ni ngumu sana Upinzani kuishinda CCM ndani na nje ya Nchi!
Na sasa kama hiyo haitoshi CCM inabadilika kuendana na muda sasa kuna damu mpya watu kama H.Pole pole ambao wana mawazo mapya jinsi ya kuijenga na kuiboresha CCM, the old guard imeeenda, hivyo basi ni ngumu sana kwa Upinzani kuweza kuishinda CCM si kwa kura au hata kwa hila tu labda kujaribu kupata sapoti nje ya nchi kwa maana CCM iko vizuri na ina demokrasia kubwa!
Wengine wakiota WACHOCHEZI lkn wengine wakitukana WAKOMAVU wa siasa.Leo ndo nimeamini kuna watu akili zao ziana matatzo , barbarosa kaongelea u genius wa ccm watu wenye utindio wanasema tetea maslai ya chama ipo siku utapata cheo.badilikeni vijana siasa ndo tatzo kwenu na upinzani
Mkuu pole sana dawa imekuingia.........yani Humphrey Polepole joka la kibisa ndiyo S.I unit ya u-genius wa CCM??
kituko cha karne hiki.
tatizo la bosi wao anawateua kwwa kuwasikia wanaropokayani Humphrey Polepole joka la kibisa ndiyo S.I unit ya u-genius wa CCM??
kituko cha karne hiki.
Ugenius wao umetusaidia nini zaidi ya kuutumia kutuibia rasilimali zetu kwa kuingia mikatana mibovu na kula pesa za miradi hadi kutusababishia umaskini mkubwa na tunaendelea kuishi chini ya dola moja kwa sikuHiki Chama kitaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo na sababu ni kwamba CCM inaelewa Siasa za Dunia kuliko siajabu Chama chochote kile barani Afrika kama siyo sehemu kubwa ya Dunia!
Kwa mfano CCM imekuwa madarakani kwa miaka mingi sana ukilinganisha na Vyama vingine, lkn tofauti na vyama vya nchi nyingine kama vile ZANU-PF, KANU au sijui MPLA -Angola &Co. ambapo kwenye hizo Nchi unaweza kuita Viongozi wao Madikteta na hoja yako kuuzika kwa maana wanaongozwa na Kiongozi mmoja miaka yote, lkn hapa Tanzania kwetu huwezi kuita Udikteta kwa maana ndani ya CCM ni demokrasia pure, kwamba Uongozi una ukomo hivyo basi kila baada ya miaka 10 huja Kiongozi mpya, na hii ndo Janja kubwa ya CCM, hapa ndipo genius ya CCM ilipo!
Hivyo basi tofauti na Syria, Libya au sijui Kongo ambapo ilikuwa rahisi kujenga hoja ya Udikteta na kupata sapoti ktk nje hapa kwetu huwezi kupata sapoti kwa maana kila kitu kiko wazi na watu wa nje hawawezi kuikubali hoja ya Udikteta Tanzania kwa maana hakuna Kiongozi Dikteta kwa maana halisi ya neno na ndo maana ni ngumu sana Upinzani kuishinda CCM ndani na nje ya Nchi!
Na sasa kama hiyo haitoshi CCM inabadilika kuendana na muda sasa kuna damu mpya watu kama H.Pole pole ambao wana mawazo mapya jinsi ya kuijenga na kuiboresha CCM, the old guard imeeenda, fikiria tu mtu kama Nape Nnauye nani alijua kama baada ya miaka 5 angemaliza muda wake na kupisha wengine? Nipe mfano wa Chama kinachofanya hivyo hapa TZ au hata nje ya mipaka yetu, ndo maana hata watu kama akina Kingunge walifikiri wako juu ya Chama kwa kutishia kujitoa, wamejitoa lkn hakuna hata kilichobadilika ni kama hata hawajafanya kitu, na hii imewezekana tu kwa sababu ya mfumo mzuri wa CCM waliojiwekea ambao ndio unaowafanya waendeelee kuwepo, hivyo basi ni ngumu sana kwa Upinzani kuweza kuishinda CCM si kwa kura au hata kwa hila tu labda kujaribu kupata sapoti nje ya nchi kwa maana CCM iko vizuri na ina demokrasia kubwa!
Nyie mko hapo kwa sababu ya udiplomasia ya wapinzani kina lowassa na maalim 2015 ila wangeamua kukinukisha nahisi tungekuwa tunaongea mengine sahvi.....Mkuu pole sana dawa imekuingia.........
asante mkuu,chama mama ni mama tu!Kwa hili hawa jamaa nawakubali sana. Huwa siwapendi ila kwa mbinu I salute
amenena maneno kuntu!Mkuu wewe ni mzalendo.
pasukaCrap