Amalrik TZ
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 341
- 303
CCM ndio sababu ya umaskini wetu lakini angalau sasa chama kimetoka mfukoni mwa yule aliyekwenda zake nafikiri wapenda haki na demokrasia wanafurahia hilo.Naweza sema hakuna chama chenye misingi imara nchi Tanzania kama Chama Cha Mapinduzi.
Japo vyama vingine vina watu wenye weledi na maarifa zaidi ya viongozi waliopo CCM.
Tukumbuke kwamba wanachama wa CCM ni walewale na wanaongoza bado ni wale wale hata baada ya hayati JPM kuondoka bado sina matumaini makubwa na wale waliopo.
Wiki hii chama kitapata mwenyekiti mpya lakini je unadhani anaweza kwenda kinyume na miiko na misingi ya chama chake.?
Jibu hapo ni hapana kwangu mimi hivyo basi yatupasa sote kusimama kutetea mambo ya msingi ya nchi yetu na kuacha kushabikia mambo ambayo yanapita.
CCM ndio sababu ya umaskini wetu lakini angalau sasa chama kimetoka mfukoni mwa yule aliyekwenda zake nafikiri wapenda haki na demokrasia wanafurahia hilo.
Watu wanaimani na Samia, kwamba sasa Tanzania imepata mtu sahihii kabisa na wanategemea mambo mapya na mabadiliko makubwa, wanajisahaulisha kwamba alikuwa VP kwa miaka 5 nyuma ndani ya CCM.Sijakuelewa unaposema CCM ni ileile mwenzetu ulitaka CCM iwe CUF au CHADEMA?
Hao mafisadi wako gereza gani?..Tofauti ya Mwendazake na Samia ni uthubutu!! Mwendazake aliweza kuthubutu kuwathibiti mafisadi ndani ya ccm ambao walikuwa wanatumia chama kujineemesha; napia hakuruhusu wale walioamini kuwa " ccm ina wenyewe" kuiyumbisha Serikali!!! Je uliwahi kumsikia Kikwete akiwika enzi ya Magufuli kama anavyoanza kuwika sasa? Hao ndio wanaojiaminisha kuwa "ccm" ni mali yao!!!
Tumpe muda Samia kama ataweza kuwakunja mabawa hawa wazee wanaojinadi kuwa wao ndio wamemfikisha hapo!!
Hao mafisadi wako gereza gani?..
Wamepewa na uwaziri wengine kama Mtatiro na Mollel 🤷🤷 naona kama CCM imezoea kusubiri vijana walelewe upinzani halafu wao wawarubuni kwa vipande kadhaa vya fedha.Waliounga juhudi sijui nini hatma yao.
inahribu vp nchi sasa? yaani hio tayar ndo inaonyesha kwann kuna wapinzani, inamaana kwenye hela wao hawagomi, yaani kwa kifupi inaonyesha hakuna upinzani wao wana agenda zao na agenda zishajulikana kwamba ukiwahonga basi hamna cha upinzani wala chama cha upinzani, na hii nkiunganisha na lowasa kwenye upinzani ndo inagongelea msumari kwamba nyie ni wapenda pesa tu hamna nia njema yoyote na siasaWamepewa na uwaziri wengine kama Mtatiro na Mollel 🤷🤷 naona kama CCM imezoea kusubiri vijana walelewe upinzani halafu wao wawarubuni kwa vipande kadhaa vya fedha.
Tamaa inawamaliza vijana wengi maana wakiwa upinzani unawaona wapo vizuri kwa kutetea nchi yao Ila wakishaingia kuunga juhudi ujue ni matakataka matupu.
CCM inaharibu sana hii nchi.
On the other side of the coin toss it means CCM imejaa watu wa hovyo watupu. Haina uwezo wa kukuza vijana mpaka inaamua kutumia udhaifu wa wapinzani kutokuwa na uwezo wa kiuchumi kuwalipa vizuri vijana wao so wanaamua kuwarubuni.inahribu vp nchi sasa? yaani hio tayar ndo inaonyesha kwann kuna wapinzani, inamaana kwenye hela wao hawagomi, yaani kwa kifupi inaonyesha hakuna upinzani wao wana agenda zao na agenda zishajulikana kwamba ukiwahonga basi hamna cha upinzani wala chama cha upinzani, na hii nkiunganisha na lowasa kwenye upinzani ndo inagongelea msumari kwamba nyie ni wapenda pesa tu hamna nia njema yoyote na siasa
Magereza nikwaajili ya wanyonge tu sio?Sio kila fisadi yuko gerezani!!!
Khaaaa
On the other side of the coin toss it means CCM imejaa watu wa hovyo watupu. Haina uwezo wa kukuza vijana mpaka inaamua kutumia udhaifu wa wapinzani kutokuwa na uwezo wa kiuchumi kuwalipa vizuri vijana wao so wanaamua kuwarubuni.
Ni chama cha warubuni, wanaotaka madaraka ili wakwapue mali za taifa hili kwa bahati mbaya wanapata vijana ambao wanashindwa kuvumilia hali mbaya ambayo wapinzani wamewekewa kifedha.
Wapinzani wanabanwa hata kupokea michango kutoka source za friends wa vyama vyao ingali CCM inajichotea mahela tu serikalini kama alivyotamka Bashiru akijitamba kuhusu kubaki madarakani.
So CCM ni tatizo kubwa sana.