CCM ni chama cha MUNGU

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Hii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au mwingine. Kama kawaida CCM waliomba mwongozo kisha ZITTO alitolea ufafanuzi.

MY ideas:-NDUGU zangu musikidharu hiki chama kimetumwa na Mungu kuondoa kero za WTZ kwa miaka zaidi ya 31 sasa vingine laana inawafuata, kama huuamini ona vile hawaoni, hawasikii, hawaambiliki, hawashauriki,hii ni kwa sababu CCM ni chama cha Mungu na haya wanayo ya yafanya ni agizo la Mungu eg ufisadi maana hauwezi kufanya lile ambalo wenye chama hataki na akakuacha salama" take care" !!!

CCM NI CHAMA CHA MUNGU ooooh !!
 
Mungu yupi kama hakika ni mkuu wa mashetani.
Otherwise kama Mungu mutakatifu/muumbaji wa Dunia na mbingu ndiye anayetajwa kuhusishwa na chama cha wezi na majambazi HII NI KUFURU TOSHA. ABOMINATION!!!!!!!!!!!!
 
Chama ambacho kinavua gamba kama la nyoka. Na nyoka kwa wenye utaalamu na Biblia ni Shetani: Chama kilichowaletea watu wake manyanyaso ya kila aina: Chama ambacho kuibia watu wake ni no.1 qualification: Chama ambacho kiliiba Kura Mwaka jana na kutangaza ushindi tofauti na mshindi: Chama ambacho hakikurusu wanavyuo kupiga kura: Chama ambacho chaguzi zake za ndani zimegubikwa na rushwa: Chama ambacho kiiba pesa EPA: Chama ambacho kimemficha BAlali: Chama ambacho............................................................[hii ni kufuru mbaya sana].
 
Mungu wa mabaniani (ng'ombe)? Wameanza tena kukufuru! Unajua zamani
walikuwa na salamu yao ya ccm juu juu juu zaidi, watu wakahoji hiyo juu inamaanisha
ni juu zaidi ya Mungu? Wakaamua kuifuta, sasa wanalewa tena madaraka!

This is shame!
 
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, maana Mungu hatawahesabia kuwa hawana hatia, wote walitajao jina lake bure.

Kwa hiyo yawezekana aliyesema maneno haya alilenga kusema "CCM ni chama cha Miungu", mwandishi akaondoa "i" na kutenda dhambi niliyoitaja pale juu.
 
Acha Propaganda zako! Kwa hiyo wewe ndo uliyemsikia Magufuli na kumweleza zaidi kuliko
waliokuwepo kwenye ziara ile? Hao magamba wameanza lini kumtambua Mungu?
Wangemjua wangeifisadi nchi hii? Shame on you!
 
Hii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au mwingine. Kama kawaida CCM waliomba mwongozo kisha ZITTO alitolea ufafanuzi.

MY ideas:-NDUGU zangu musikidharu hiki chama kimetumwa na Mungu kuondoa kero za WTZ kwa miaka zaidi ya 31 sasa vingine laana inawafuata, kama huuamini ona vile hawaoni, hawasikii, hawaambiliki, hawashauriki,hii ni kwa sababu CCM ni chama cha Mungu na haya wanayo ya yafanya ni agizo la Mungu eg ufisadi maana hauwezi kufanya lile ambalo wenye chama hataki na akakuacha salama" take care" !!!

CCM NI CHAMA CHA MUNGU ooooh !!

Nitashukuru iwapo hakumaanisha huyu Mungu wa kweli tunayemwabudu (Yehova). Kwa maana kwamba alikuwa na maana ya mmoja wa miungu hii ya bandia ambayo wasiomjua Mungu wa kweli (Yehova) wanaiabudu, e.g. mibuyu, ng'ombe, mashetani, miamba, milima, na takataka zingine. Ila kama katamka akiwa na maana ya Mungu wa kweli (Yehova) basi afunge magunia na kufunga na kuomba toba ili Mungu wa kweli (Yehova) amsamehe dhambi hiyo. Mungu hadhihakiwi na haifai kutamka maneno na kumtaja Mungu hovyo hovyo tu hata katika vyama vyenu vya magamba vilivyojaa wezi, mafisadi, manyang'au na sifa zote na huku mnamshirikisha Mungu. Tubuni nchi isizidi kuangamia
 
Acha Propaganda zako! Kwa hiyo wewe ndo uliyemsikia Magufuli na kumweleza zaidi kuliko
waliokuwepo kwenye ziara ile? Hao magamba wameanza lini kumtambua Mungu?
Wangemjua wangeifisadi nchi hii? Shame on you!
=========

Umenionea bure kwa sababu hata mimi nina mawazo kama yako, ikiwa wenye mawazo kama yako hawalaaniwi. Ebu soma tena bandiko langu ili uniondolee laana. Huko CCM hakuna Mungu, kuna miungu.
 
inategemea na Mungu mwenyewe, anaweza kuwa hata Mungu wa bagamoyo, labda wangesema kabisa ni Mungu yupi!?
 
Hii ni kauli aliyo itoa JP Magufuli jana huko Kigoma, Walianza kulumbana baada Mbunge wa CUF from Z'bar kusema CCM ni chama cha Mungu na kujiuliza, sijui ni Mungu huyu tunaye mwabudu wote au mwingine. Kama kawaida CCM waliomba mwongozo kisha ZITTO alitolea ufafanuzi.MY ideas:-NDUGU zangu musikidharu hiki chama kimetumwa na Mungu kuondoa kero za WTZ kwa miaka zaidi ya 31 sasa vingine laana inawafuata, kama huuamini ona vile hawaoni, hawasikii, hawaambiliki, hawashauriki,hii ni kwa sababu CCM ni chama cha Mungu na haya wanayo ya yafanya ni agizo la Mungu eg ufisadi maana hauwezi kufanya lile ambalo wenye chama hataki na akakuacha salama" take care" !!! CCM NI CHAMA CHA MUNGU ooooh !!
Hakika MUNGU WA UKWELI huwa hadhihakiwi na kama ulikuwa unamaanisha huyo huna budi kumuomba akusamehe kabla hujaenda jehanamu! Kama ulikuwa unamaanisha miungu huna budi kumrudia MUNGU WA UKWELI kabla hujaenda jehanamu pia
 
ccm--ni chama cha mafisadi tena chama cha wezi na wabinafsi...ni chama cha SHETANI ibilisi..... Wanaosema ni chama cha Mungu labda c mungu huyu alie umba dunia hii... ni MUNGU wao wanao mjua wao wenyewe,,...c mungu wetu.....acheni mtapata laana...
 
Back
Top Bottom