CCM ni chama cha kisultani. Walalahoi wasio na mbele au nyuma wanaokishabikia ni wajinga. Watoto wa viongozi wa CCM wanarithishwa madaraka kisultani

CCM ni chama cha kisultani. Walalahoi wasio na mbele au nyuma wanaokishabikia ni wajinga. Watoto wa viongozi wa CCM wanarithishwa madaraka kisultani

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM.

Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii.

Wewe mpuuzi ambae huna mbele wala nyuma CCM ya nini kwako?
 
Hii nchi sioni umuhimu wa uwepo wa vyama vingi, maana imekuwa ya chama kimoja CCM ndio mpanga matokeo hadi ya uchaguzi, kama vipi ijulikane moja nchi imekuwa ya chama kimoja wafute vyama vingine kunusuru kodi za walala hoi kwaajili ya chaguzi za maigizo!.
 
Sasa ulitaka watoto wote wafanye kaz gani kama siyo siasa ni aibu mtoto wa kiongoz kuajiriwa
 
Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM.

Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii.

Wewe mpuuzi ambae huna mbele wala nyuma CCM ya nini kwako?
Lucas Mwashambwa ni mfia chama na masulupwete yake, sijaona akipandisha uzi wa kumsifia Isaac Madelu kwa makukumu yake ya kitaifa ya kazi za uchipukizi.
 
Huwezi kuwa na akili timamu halafu ukaishabikia ccm. Kama hamuamini haya maneno yangu, chunguzeni mtaupata ukweli.
 
Back
Top Bottom