lo sasa.Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Watanzania ukiwaona wanataka kuwa kitu kimoja katika kudai haki zao wachomekee mada yeyote itakayohusu Dini zao utawaona wanakosana haraka sana na ndio unakuwa ni mwisho wa umoja wao π³π€¦π½ββοΈSababu Watanzania wenyewe wanakumbatia dini, kabila chama,mtu wa mjini au kijijini, utoto mwingi hawajui jinsi ya kuunganisha nguvu zao kwanza, kuangalia nani yupo serious na maendeleo.
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa
CCM au PoliceDunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
CCM ni chama Cha kipekee Sana.CCM au Police
Na kabila pia. Watoto wa mjini, vijijini, Kanda.Watanzania ukiwaona wanataka kuwa kitu kimoja katika kudai haki zao wachomekee mada yeyote itakayohusu Dini zao utawaona wanakosana haraka sana na ndio unakuwa ni mwisho wa umoja wao π³π€¦π½ββοΈ
Aibu !
Mwenyezi Mungu kaumba wanadamu na majini ili wamwabudu.CCM ni jini
Sasa mbona haya majini CCM hayanwamudu?Me
Mwenyezi Mungu kaumba wanadamu na majini ili wamwabudu.
Yanafanya kinyume chake. ??! πSasa mbona haya majini CCM hayanwamudu?
Ila Watu wakorofi hahahahhaahYanafanya kinyume chake. ??! π
Itakuwa ni kiburi cha kipato !
Kipato kwa wengine huwafanya wawe na kiburi. π³ππ