Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,748
- 50,169
Unazungumza dunia ndani ya tanzania au dunia ya huko nje?Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Inahitajika maombi kupambana nacho😃😀CCM ni jini
Dunia ya Duniani.Unazungumza dunia ndani ya tanzania au dunia ya huko nje?
Basi iko hivi huko duniani hawana habari na ukija huku nchi ziliondelea hawafahu ccm ni kitu gani.Dunia ya Duniani.
Ni kawaida. Hakuna jambo linalojulikana na kila mtu Kila mahali.Basi iko hivi huko duniani hawana habari na ukija huku nchi ziliondelea hawafahu ccm ni kitu gani.
Vyote ni sawa. Huwezi kuwa na ulimwengu bila kuwa na Dunia na Dunia Iko ulimwenguni.Tofautisha Dunia na Ulimwengu 😄
Dunia iko kisayansi na ulimwengu uko Kiroho na KisiasaVyote ni sawa. Huwezi kuwa na ulimwengu bila kuwa na Dunia na Dunia Iko ulimwenguni.
Nyie CCM ni wa kipekee kabisa. Mmewezaje kushinda kwa 99% wakati huku mtaani jina la chama chenu likitajwa watu hutema mate chini?
Unajua kuna vyama vikubwa na maarufu zaidi duniani kuliko ccm?Ni kawaida. Hakuna jambo linalojulikana na kila mtu Kila mahali.
Zaidi ya yote waifahamu wasiifahamu, haiondoi ukweli kuwa CCM ni chama cha siasa kilichoko duniani.
CCM ni ya kipekee Sana. Hata iwe na viongozi wa hovyo hovyo, bado itaendelea kuwa ya kipekee.
Unatumia akili za nje ya upekee wa CCM. Utafeli.Unajua kuna vyama vikubwa na maarufu zaidi duniani kuliko ccm?
ni kama tu ulivyo upinzani wa Tanzania katika ujumla wake ulivyo wa kipekee,Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Blah blah nyingi, situmii akili za nje,nakupa factUnatumia akili za nje ya upekee wa CCM. Utafeli.
Ukitaka kuuelewa upekee wa CCM lazima uukubali kwanza upekee wake.
CCM ni ya kipekee Sana.
Upekee wa CCM ni pale ambapo Mtu yeyote awaye yote akijiunga tu na chama hiki, anakuwa ZUZU. Yaani akiingia tu ndani ya chama, akili zake zinapungua kwa zaidi ya 70%.Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Chama cha LaanaInahitajika maombi kupambana nacho😃😀
Na huo nao ni upekee wa CCM. Hawajulikani lakini wenyewe wanaamini wanajulikana ulimwenguni pote.Blah blah nyingi, situmii akili za nje,nakupa fact
Dunia ni kubwa na ime contain nchi nyingi, you just cant say duniani if 80% ya nchi duniani hawakijui kama kipo
Yaani CCM ni pekee na wenye CCM yao wanaujua upekee wa chama chao.CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.