Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Anayetaka kuwaamini ccm katija jambo lolote ni juha. Kura zote za ccm zimeenda kwake na marando kapata zote cdm na chache za wana cuf walioasi maelekezo ya wakubwa wao.cdm jueni kuwa mko peke yenu upinzani.nanyi mkiendekeza diplomasia za kijinga tutawapa kisogo.hakuna kulala mpaka kieleweke