CCM ndio iliyoleta umaskini Tanzania

CCM ndio iliyoleta umaskini Tanzania

Hebu tupe mawazo yako yakhe...
c2e9a2b2b660f0dd2b359c5b2c0c3891--so-true-live.jpg

f00353ae1b9802429a23b45e39a237e6--quotes-by-famous-people-famous-quotes.jpg

hizo mentality mbili hapo juu, kingeingizwa vizuri vichwani mwetu tangu uhuru CCM isingelaumiwa.
MuOlB6aiQDhWo1b3J6d9HQbZD8ebW8NhufoU_wvlF2c.png

Msisitizo mkubwa ungewekwa hapa, pia mambo yangependeza zaidi.

mtanzamo wangu.
 
Acha nukuu za kijinga. Hao uliowanukuu nchi zao zina Elimu bora, afya bora, miunndombinu bora, maji safi na salama, umeme wa uhakika, uhuru wa maoni na habari, mgawanyo wa madaraka kwa serikali bunge na mahakama. Hayo yote ni kinyume kwa Tz. Kama hauoni uhusiano wa haya niliyofafanua na umaskini wa watanzania, basi una laana ya CCM.
 
umeomba mtazamo nimekupa. malalamiko mengine sidhani kama nahusika mkuu.
Maoni niliyotoa sio best solution, ila ni mtazamo wangu kuhusu mada hapo juu.
kuupenda au kuuchukia sio kazi yangu ni kazi ya msomaji hivyo na wewe uko sahihi.
maana hata hao walikiwa hawana vyote unavyodai wanavyo.
 
Acha nukuu za kijinga. Hao uliowanukuu nchi zao zina Elimu bora, afya bora, miunndombinu bora, maji safi na salama, umeme wa uhakika, uhuru wa maoni na habari, mgawanyo wa madaraka kwa serikali bunge na mahakama. Hayo yote ni kinyume kwa Tz. Kama hauoni uhusiano wa haya niliyofafanua na umaskini wa watanzania, basi una laana ya CCM.
pili kabla haujakimbilia kuilaumu CCM...
jiulize kwa nini haya malalamiko yapo kila mahala ambapo yupo mtu mweusi.
nenda carribean, nenda wanapoishi wamarekani weusi na tabia zao, nenda kwingineko duniani ambapo kuna jamii ya watu weusi wengi matatizo yao yanafanana.

unaweza kupata jukwaa zuri la kujua chanzo cha matatizo yako na nchi yako bila mihemko ya kisiasa.
 
Pumbafu.hivi burundi,Zambia ,Malawi na nyingine zote zinazotuzunguka kusini mwa jangwa sahara ni matajir?humu wahuni ni wengi.
 
Unaumri gani? maan nisikuwa napoteza mda tuu hapa
Kumbe upo O level bado?
Ua so stupid...n what's ua asking is apparently nonsense

Can u clarify to me pls, how is ua qn related to what I hv just written?
 
CCM siku zao zimekwisha wale wazee walio kuwa waki wapigia kura nao wameisha, kwa hiyo wamekuja na elimu nyigine ya wizi wa kura , kufanya virugu kwenye chaguzi huku waki wasingizia vyama vya upinzani kuwa ndivyo vinavyo fanya vurugu, wana watumia polisi ambao wameshindw kuwa jengea nyumba za kuishi, polisi ambao bado wanaishi kwenye nyumba zilizo jengwa enzi za ukoloni kwenye miaka 1939, tena ni aibu eti wanasubiri zipatwe na majanga kama ya moto ndo wapite kwa wananchi maskini walio wabana kwa kila aina kodi ili wachangie kwenye bakuli lao la omba omba. Aibu kubwa
 
Umasikini ni wakwako mkuu na mawazo yako mganDO
Usikatae wala usipingane na ukweli bandari pekee ilitosha kabisa kuleta maendeleo makubwa kabisa lakin sasa duh kila mwana CCM anae ingia madarakani anajifanyia yake na sio ya wananchi ndio maana saiz masela wa GRACE MUGABE wameenda mbali na kuamua kutumia jina la waziri mrefu kuliko wote ili mzigo upite bila kodi.hahaaaa CCM !!! ESCROW,DOWANS,LUGUMI, KATIBA MPYA ,IPTL,MEREMETA,RICHMOND .......... ................ .........,, ..,..........,endeleza list , hahahaaaaaa unadhani hayo mabilion yaliyo potea huko kote yangeelekezwa kujenga ahule za kisasa , hospitali za kisasa, miundo mbinu ya maji jee kama taifa lingekuwa wapi???
 
CCM siku zao zimekwisha wale wazee walio kuwa waki wapigia kura nao wameisha, kwa hiyo wamekuja na elimu nyigine ya wizi wa kura , kufanya virugu kwenye chaguzi huku waki wasingizia vyama vya upinzani kuwa ndivyo vinavyo fanya vurugu, wana watumia polisi ambao wameshindw kuwa jengea nyumba za kuishi, polisi ambao bado wanaishi kwenye nyumba zilizo jengwa enzi za ukoloni kwenye miaka 1939, tena ni aibu eti wanasubiri zipatwe na majanga kama ya moto ndo wapite kwa wananchi maskini walio wabana kwa kila aina kodi ili wachangie kwenye bakuli lao la omba omba. Aibu kubwa
Hawana mbinu tena kabis kwa sasa zaidi ya kuwatumia polisi na tume ambao kwa sasa ndiomateka wao
 
Ua so stupid...n what's ua asking is apparently nonsense

Can u clarify to me pls, how is ua qn related to what I hv just written?
Am so glad to hear that, actual u gave me da chance to knw, am dealing with the most stupid and sill one
Da qn was vry simple state ur AGE dat all
Bt i do wander wat u asnwered.
We will never go forward if da courty has stupid ppl like u.Bt SORRY for ur stupidness
 
pili kabla haujakimbilia kuilaumu CCM...
jiulize kwa nini haya malalamiko yapo kila mahala ambapo yupo mtu mweusi.
nenda carribean, nenda wanapoishi wamarekani weusi na tabia zao, nenda kwingineko duniani ambapo kuna jamii ya watu weusi wengi matatizo yao yanafanana.

unaweza kupata jukwaa zuri la kujua chanzo cha matatizo yako na nchi yako bila mihemko ya kisiasa.
Unatofautishaje umaskini wa Mtanzania na CCM?
 
Am so glad to hear that, actual u gave me da chance to knw, am dealing with the most stupid and sill one
Da qn was vry simple state ur AGE dat all
Bt i do wander wat u asnwered.
We will never go forward if da courty has stupid ppl like u.Bt SORRY for ur stupidness
Yap yap chief...back again, what's the connection btn my age n this thread?

Jus answer that 1st....
 
Pumbafu.hivi burundi,Zambia ,Malawi na nyingine zote zinazotuzunguka kusini mwa jangwa sahara ni matajir?humu wahuni ni wengi.
Kwa hiyo CCM kazi yenu.kubwa ni kututia umaskini mpaka tufanane na hizo.nchi ulizotaja?
 
Back
Top Bottom