Na weww jeCcm mtakufa vibaya nyiee
Haya mawazo yako ndio chanzo cha umasikini wako. Unaamini kuna chama kitakuja kukujengea maisha.Chama Cha Mapinduzi (CCM), ndicho chama kongwe barani Afrika kilichosababisha umaskini kwa wananchi wengi nchini Tanzania. Sababu ni hizi:-
1. Elimu/maarifa/stadi duni kwa wananchi. Hivyo kuwafanya washindwe kuyamudu maisha na mazingira yao.
2. Huduma duni za afya, nguvu kazi inapotea kwa vifo.
3. Ukosefu wa maji safi na salama, kunazorotesha afya za wananchi na kusababisha magonjwa mbalimbali, kwani 70% ya mwili wa binadamu ni maji.
4. Ukosefu wa vyanzo bora vya umeme (mgao). Hivyo kushusha jitihada za wananchi kuzalisha mali.
5. Miundo mbinu duni ya barabara kwa wananchi wengi ambao 80% wanaishi vijijini. Usafirishaji wa bidhaa, mazao na watu umezoroteshwa.
6. Kilimo duni cha jembe la mkono, kunakopelekea uhaba wa chakula na kushuka kwa kilimo biashara.
7. Ukosefu wa demokrasia ya kweli, yenye kuruhusu uhuru wa mawazo na habari, ambavyo ni njia muafaka ya kukuza ubunifu na kupashana habari. Uchakachuaji wa chaguzi mbali mbali na kupelekea kupata viongozi wabovu (dhaifu na madikteta)
8. Rushwa, Ufisadi na kujichotea pesa kienyeji bila idhini ya bunge, kisha kuzipeleka kusikostahili, kama kujenga international airport kijijini, ili hali kuna uhaba wa madawa hospitali.
CCM Mungu anawaona.
KivipNi kweli, UMASIKINI wa nchi hii umeletwa na CCM.
Kweli kabisa laumu wazazi wako, umasikini wa MTU ni MTU mwenyeywe, usitegemee serikali kukuletea utajili wakati umeweka umekaa chini kila wakati.Umasikini ni wakwako mkuu na mawazo yako mganDO
CCM wametuletea UMASIKINI watanzania.Kivip
Nyie ndio mliozowea vya BURE sasa vyuma vimekaza acha story za vijiweni
Ntakufa kistarehe sanaNa weww je
Kwa hiyo wewe ukinywa chai na mkate mwenzako anakufa kwa kukosa.huduma.bora za afya unayaita maendeleo?Haya mawazo yako ndio chanzo cha umasikini wako. Unaamini kuna chama kitakuja kukujengea maisha.
Pamoja na vigezo vyote ulivyotoa natamani ungefika kwangu. Watu mnalala mnaamka mnawaza siasa wakati huo pia mnawaza mafanikio.
Nikiwaona baadhi ya madada wajasiriamali wa Tz kwenye TV walivyopata mafanikio na kiangalia watu wenye mawazo kama yako hakika huumia sana maana badala ya kuumiza kichwa na kuspend time kwenye mambo ya msingi wewe wawaza upuuzi.
Endelea kusubiri mwaka ambao chama fulani kitaleta utajiri
Haya ndio mawazo mufilisi ya CCM kwa wananchi wake. Tunaongelea huduma bora za maji, afya, elimu, demokrasia, rushwa, ufisadi, uchotaji fedha kwa matumizi mabaya, wao wanawaza kutajirika.Kweli kabisa laumu wazazi wako, umasikini wa MTU ni MTU mwenyeywe, usitegemee serikali kukuletea utajili wakati umeweka umekaa chini kila wakati.