CCM ndani ya Kirumba stadium: Hii ni mbinu ya ushindi

CCM ndani ya Kirumba stadium: Hii ni mbinu ya ushindi

subirini mkamuliwe jipu jpili mbona mnahaha sana...yaani tunawashindilia dudu bila kupaka mate mwaka huu
 
Mkuu acha TINGATINGA MAGUFULI AKANDAMIZE HATUTAKI UREMBO TUNATAKA KAZI TU
 
Makamanda kote nchini.
Nimebahatika kujichomekeza ktk kikao cha mawakala wilaya ukumbi AICC kilichoongozwa na mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa Godfrey Mwalusamba,mwakilishi toka Lumumba na Lekule Laiser na haya ndiyo maazimio.

-Hali ni mbaya kote nchini,wanazungumza na wasimamizi ili watoe karatasi mbili mbili kwa wafuasi wa ccm ktk chumba cha kura (wakala wa ukawa UMAKINI)

-Wapiga kura wa ccm kuingia na karatasi zilizopigwa tayari.
-Kuongeza tarakimu ktk jumla ya kura kabla ya kuanza kuhesabiwa.
-Wakati wa usafirishaji wa masanduku yatawekwa mengine hence watataka kuhesabu tena kule ktk eneo la majumuisho.
-Kutafuta jinsi ya kuwahonga ama kuondoa umakini wa mawakala wa chadema na UKAWA.

Acheni Visingizio, huu ni Mwaka wa Tano hamjaonesha Kontena la kura feki za Tunduma za 2010, mmeangukia Pua kwa kuwa hamkujua athari ya kuchukua mtu asiejua kujieleza na mtu anaegopa kupinga Ufisadi hata kwa kusema tu, Leo Ccm na Magufuli ndo wanazungumzia Ufisadi. Mmefanya kosa kubwa sana na hili kosa litawagharimu
 
pole sana lowasa mwenyewe ashajua hafiki ikulu ndo maana kasema ataenda kuchunga ng'ombe monduli.

Mbona magufuli kakimbia hata kuulizwa tu!
Mabadilikooooooooooooooo Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mabadilikooooooooooooooo
 
Jaman ni usiku sasa umeenda mnoo gari la Matangazo linapita usiku huu et Watu wajitikeze kesho kinana atakua na Mtoto wa LOWASA akiongea na kupinga kua Baba ake HAFAI KUA RAIS!!!!

Ikumbukwe hapa ifakara CCM imekufa kitambo vijiji 33 CCM Ilipata vitatu tu na chadema kuzoa 30!

Mama Salma kahutubia hapa juzi hali ilikua mbaya watu wachache utazan wanavunja kikoba!!!!!!

Kuna tetes pia kuwa MKUU WA KAYA alikua na vikao vya siri siku ya jana hapa Ifakara!!!

Pia leo mji ulisimama kwa ujio wa lowassa hapa na wamepata Mshtuko mno!!!

Sasa huyo FREDRIC LOWASSA sijui nikwel kua atakuepo kumpinga BABA YAKE au ni Technique yakupata mafuriko kuficha aibu??????

Nakwann gari lipite sa saba hii kutangaza au waliogopa mawe kwan tumewachoka??????

Nitawapa update Makamanda!!
 
Wananishangaza sana ccm wamewachukua vijana wa chuo wamewapa T-shirt za ccm na pesa za kula bata wamekaa uwanjani tena wamebeba sana Watoto wa hostel kama unabisha njoo hapa uoneshe unavyokurupuka wakati mm mwenyewe mmohawapo nilie jikata nakuja kutulia zangu ghetto ila ccm acheni usumbufu mtaan kwetu mnakesha kila siku ya mikutano Yenu mnafanya starehe afar ety kauli mbiu Yenu inasemaje vileeee..............bora mungeibadilisha mkasema hapa mziki tu kila mfanzania atakuwa mwana mziki kwasababu kila sehem ninyi na mziki

chuo gani wamefungua saivi?
 
Mwanza mjini tu ina wakazi zaidi ya 700,000 halafu mkutano unafanyika Ndani ya Kirumba stadium (yenye uwezo wa watu 35,000)! Hapa ina maanisha ukichanganya wakazi wa Mwanza & suburbs, utitiri wa viongozi kutoka makao makuu na mikoa mbalimbali, wasanii, mapolisi, n.k., ccm wameona hawatapata watu zaidi ya 35,000. Hii siyo dalili nzuri

Usiseme uongo kaungame
 
Ahahaaa....wajinga ndio waliwao, Lowassa amewanunua na amewauza UKAWA bila wao kujijua,....
 
hIVI CCM HUO UWANJA MLITUMIA MRADI GANI KUUJENGA,

NAONA LITKUWA NI KONGAMANO LA WANYONYA RASILIMALI KUMTUKUZA KIBARAKA WAO MPYA.
 
Back
Top Bottom