CCM nchi nzima wanalalamika kudhulumiana.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,837
Reaction score
50,541
Kila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM.

Tulipowaambia NO REFORMS NO ELECTION mlitubeza. Hatutaingilia ugomvi wenu wa wanandugu!!
 
Watengeneze ulingo wa masumbwi kila walipodhulumiana mshindi wa ulingoni ndiye mshindi wa kweli.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hiki chama mpaka hapa kilipofikia, hakiwezi kamwe kurudi kwenye hali yake ya zamani ya umoja na mshikamano. Lazima kitakuja kufa tu kifo cha mende.

Kwa sababu kuna kikundi cha watu wachache wamejimilikisha chama huku walio wengi wakiishi kwa kitegemea fadhila za hicho kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya fedha na ushawishi.
 
Jamaa hapa alishasema,,, kama ni mapepo au Mungu anajua mwenyewe..
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…