CCM nchi imewashinda hebu jionee Dar city centre

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,164
548
Huu ni Mtaa wa Mkunguni, Kariakoo karibu na Lumbumba Street
attachment.php


attachment.php

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • IMG_20140530_105404.jpg
    IMG_20140530_105404.jpg
    467.6 KB · Views: 210
  • IMG_20140530_105407.jpg
    IMG_20140530_105407.jpg
    444 KB · Views: 742
  • IMG_20140530_105413.jpg
    IMG_20140530_105413.jpg
    514.4 KB · Views: 718
  • IMG_20140530_105424.jpg
    IMG_20140530_105424.jpg
    526.7 KB · Views: 709
  • IMG_20140530_105454.jpg
    IMG_20140530_105454.jpg
    578.9 KB · Views: 701
  • IMG_20140530_105500.jpg
    IMG_20140530_105500.jpg
    567.8 KB · Views: 171
Kwani lazima ubanane DSM? Ona maeneo mengine ya nchi yalivyotulia
 

Attachments

  • 1401450036616.jpg
    1401450036616.jpg
    118.7 KB · Views: 117
picha ya ufipa mwambie slaa aje azoe

Kuna watu wengine huhitaji kuwafahamu ili uweze kupima level ya akili zao. Ukisoma tuu andiko lake unamuhurumia kwa vile kama binadamu naye anahaki ya kuishi kama binadamu wengine ila hana faida. Labda atumike kama mtambo wa kutengeneza mbolea ya samadi.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hayo ndio maisha bora ccm wanayo jua.

Nchi hii utafikiri tumerogwa, uchafu kuanzia barabara ya Lumumba mpaka Kariakoo yote utafikiri hakuna wahusika au viongozi,tumezoea maneno matupu utendaji sifuri. Meya Slaa ajione kuwa hafai na viongonzi wenzake kuongoza Manispaa uchafu huu ni kielelezo chauongozi wao.
 
sasa na wewe unatetea ujinga ina maana watu wote wa Kariakoo wakihamia hilo eneo unalodai wewe watatosha kweli..Inaonyesha wewe ni under 15 years manake pointi unayotoa yaani kama ...........CCM hawajatimiza ahadi walizotoa kwa asilimia 78 ni asilimia 22 tu nazo ni kuwafurahisha wahisani na kama una upeo hata kidogo tu utagundua kwamba sehemu ambao ni makazi ama wahisani wanapendelea kupita ama kuishi wakiwa Tanzania ndizo zilizopewa kipaumbele..
 
Pesa za kufanya usafi tumetumia kwenye miaka 50 ya muungano ngojeni bajeti mpya.
 
picha ya ufipa mwambie slaa aje azoe

Hivi wewe kichwani una ubongo au kamasi, mtaa wa Ufipa wa wapi uko hivyo? Halafu mtaa huo unahusikaje na taka zilizozagaa katikati ya jiji? Pia Slaa hapa anahusikaje? CCM inahusika maana kwenye mabaraza ya manispaa zote wao ndo watawala lakini pia hata serikali yote wanaongoza wao. Sasa hata kama mameya wamezembea kwa nini mawaziri hawaingilii kati kunusuru hali? Rais, waziri mkuu nao wamelala usingizi wa pono. Wana Tanzania hivi kwanini hii hali tunaridhika nao na hatuchukui hatua?
 
Back
Top Bottom