CCM Nambari wani

unene mbaya sana, hasa kama unakula hovyo...maana hapo walipolala wanaweza kupumua rotten eggy smell !
 
. Nambari one kulala,dhaifu, kuiba, kufisadi, na kuzini, kazi ZERO
nimesikitika sana nilipo lipitia the citizen la jana kuwa list ya nchi walioficha pesa uswisi ni - in ascending order
  1. kenya
  2. tanzania
  3. uganda
  4. rwanda
  5. burundi

nadhani ndiyo maana kila bunge lazima kutokee misamiati mipya ya serikali yetu mfano;

  1. last bunge - serikali legelege by David Kafulila
  2. current bunge - serikali dhaifu by John Mnyika
  3. net bunge ....................... by ............................
 
unene mbaya sana, hasa kama unakula hovyo...maana hapo walipolala wanaweza kupumua rotten eggy smell !

na kuachia watakuwa wanaachi bila breki
 

Silly Season ............ By Tundu Lissu
 
Hapa ndio utaelewa kuwa tanzania ina safari ndefu,huyu jamaa naye alichaguliwa na wa2 ili awawakilishe.kaazi baba!
 
Si huyo peke yake, wako wengi tu
wanachota 200,000 kila siku kwa kulala bungeni!




What they share in common, ni CCM!
 

baada ya miaka 50 ya kuwa huru kutoka kwa wakoloni na kuwa kifungoni kwenye utawala dharimu

kisha utamsikia " mh, awali ya yote naunga mkono hoja kwa 500% pia na napongeza mke na watoto wangu bila kumsahau ................"
 

Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.

Huyu si yule jamaa aliyeimba MGENI HUYU BALAA?
Nadhani anaitwa kapt KOMBA MBOGA.
 
kidumu chama cha mapinduzi....................
zidumu fikra za mwenyekiti..................................

KAAZI KWELI KWELI
 
Anawaza kwa kutumia tumbo!Anaongea kwa kutumia masaburi anaota kwa kumtumia lulu anatembea kwa kutumia kiuno analala kwa kutumia magamba K*MB*=Mbumbumbu= Wa*ira=Usingizi/Uzinzi-kiduku+Ndioooooooooooooooooooo=Umasikini wa taifa letu
 
Anawaza kwa kutumia tumbo!Anaongea kwa kutumia masaburi anaota kwa kumtumia lulu anatembea kwa kutumia kiuno analala kwa kutumia magamba K*MB*=Mbumbumbu= Wa*ira=Usingizi/Uzinzi-kiduku+Ndioooooooooooooooooooo=Umasikini wa taifa letu

ukishakuwa mwanachama wa ccm uwezo wa kufikiri unapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…