CCM na UVCCM tunasubiri tamko la kuunga mkono kauli ya Mwenyekiti wenu

CCM na UVCCM kama kawaida yenu, hasa UVCCM,tunasubiri tamko lenu la kuunga mkono uamuzi wa Raisi Magufuli juu ya sakata zima la Makonda linaloendelea hivi sasa
Sisi kama UVCCM tunamuunga mkono Mwenyekiti wetu na ana baraka zote za Chama pia suala la kwenda clouds na mitutu kama jambazi ni sisi na mwenyekiti tulimtuma na pia kuhusu vyeti ndani ya chama inaruhusiwa kufoji kwasababu lipo kwenye ilani yetu
 
Uvccm inapenda kumpongeza mwenyekiti wetu na rais mpendwa kwa ujasiri aliouonesha leo. Mkuu wa mkoa kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa anayo mamlaka ya kuingia popote awe na askari au la maana yeye ndo mungu wa mkoa. Rais kaonesha ukomavu mkubwa kwa kuikemea mitandao ya kijamii na habari za udaku. Mkuu wa mkoa anayo mamlaka hata ya kunyang'anya mke wa mtu yeyote. Hayo ndo mawazo ya uvccm. Wapi lizabon! Nawaza tu kwa maandishi jamani
 
IMG-20170320-WA0008.jpg
 
Mbuzi wamepoteana mwitumi. Hakuna mwelekeo. Tamko likitoka basi ni kiongozi peke yake bila kushirikisha wenzie. Maana kikao hakuwezi pata muafaka.
 
CCM na UVCCM kama kawaida yenu, hasa UVCCM,tunasubiri tamko lenu la kuunga mkono msimamo wa Raisi Magufuli juu ya sakata zima la Makonda linaloendelea hivi sasa.

Tunawasubiri wapendwa.
HATUWEZI KUFANYA HUO UPUUZI....
 
CCM na UVCCM kama kawaida yenu, hasa UVCCM,tunasubiri tamko lenu la kuunga mkono msimamo wa Raisi Magufuli juu ya sakata zima la Makonda linaloendelea hivi sasa.

Tunawasubiri wapendwa.
Kwani wapi waliunga mkono kuteuliwa kwa Makonda?
 
Back
Top Bottom