CCM na usemi wa Nyerere wa ''kula nyama ya mtu''

CCM na usemi wa Nyerere wa ''kula nyama ya mtu''

Watanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
727
Reaction score
44
Pamoja na kuwa Dr Slaa anapendwa na watanzania wengi mno na anayetarajia kuwa rais hivi karibuni, CCM wako na harakati za kutumia kila mbinu mbaya ikiwemo kampeni za vitisho vya vita, udini n.k. CCM hawataki kushindwa, wamezoea kubugia mali za watanzania bila kucheua. CCM wanafanya mambo kama alivyosema Nyerere kuwa ukizoea ''kula nyama ya mtu huachi, unataka uendelee tu''.
 
Huo ndiyo ubinadamu...hautaki kushindwa..... Upinzani utaingia madarakani kwa ridhaa ya JK 2015 kwani wakati huo atakuwa anatoka na hatataka kwenda the Hague, hivyo hata tumia madaraka ya Polisi na Jeshi vibaya. Kwa wakati huu kama mhariri wa Daily News alivyosema Slaa hawezi kushinda anamaanisha kuwa wamejiandaa zaidi ya kura za kwenye box la kura!!!!!
 
Hawa CCM hawafai, bora watanzania wameamua moja. Haibiwi mtu kura, watanzania wameamua kuwafundisha CCM kuwa ''kula nyama ya mtu ni vibaya, nyama ya mtu ni chungu'' Dr Slaa ndiye rais halali mwaka 2010.
 
Back
Top Bottom