Ccm na unafiki wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na unafiki wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Determine, Aug 9, 2012.

 1. D

  Determine JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ujinga ni kupotosha wasomi wa vyuo vikuu.........Utasikia wacheni vijana vyuoni wasome,utasikia wanachuo kazaa wamefukuzwa chuo furani kwa kujihusisha na vyama vya siasa....sasa kuna huyu RAIS wa TAHLISO...Makonda anagombea nafasi ya juu kabisa ktk UVCCM,na leo nimemusikia spika ANNA MAKINDA asubuhi bungeni akimtambulisha kama mgeni bungeni akiwakilisha vyuo vyote vya umma kma RAIS wao!!!! anawezaje kuwakilisha wanafunzi huku kaonesha kabisa kuwa ni mtu mwenye itikadi za chama fulani,huyu hawezi kuonea/kushiriki kuonea wanafunzi wenzake wenye mtazamo tofauti na wake???? huyu atawezaje kutetea maslahi mapana ya wanafunzi watakapoonesha kutorishwa na chama chake??????
  "It is a stupid report emanating from stupid law enforcers acting under stupid orders from stupid leaders who believe that their stupidity can get us out of this stupid mess by such stupid means like the stupid abduction and torture of Dr. Ulimboka!...trouble is, stupidity has no limits and stupid people have to work real hard to remain stupid. Sadly stupidity is its own reward!...sow stupid, reap stupid..."mag3"
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  mbona wanachuo walishagaishitukia long time hiyo janja ya magamba??? siasa vyuoni mbona zipo na zinaendelea kama kawaida. CDM tulibadilisha tu staili ya kufanya mambo yetu vyuoni, lakini CDM vyuoni tunaziendeleza siasa bila matatizo, hawa magamba akili zao haziwatoshi, si unajua wanajifanya wajuaji, taratiibu sie tunaenda nao sambamba, wao hadharani halafu sie chinichini, lazima wakae chini tu, we ngoja time ifike.
   
 3. d

  danizzo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  angekua wa cdm je? Teh teh. Someni siasa alafu ndo muanze siasa msichanganye siasa na masomo waungwana. Sitaki kuamini yani wasomi wajao wote ni wanasiasa! BASI AMNA ATAKAE KUJA KUTUOKOA WALALAHOI {UZALENDO KWANZA SIASA NEXT BWIGAZ}
   
Loading...