Sio kila mwanasiasa anayetangulia mbele za haki ameuwawa. Ila ile ya Chacha, CHADEMA hawawezi kuikwepa.
Sasa wakati kesi ilipokuwa mahakamani, magamba mlikuwa wapi msipeleke ushahidi? Kisa katiba mpya mmebanwa sasa mnatafuta kisingizio..elewa hata siku moja haki ya mtu haipotei.