Ccm na serikali yake

THE GAME

JF-Expert Member
May 30, 2010
617
341
Ccm na serikali yake wananufaika na matatizo yaliyopo nchini na kuondolewa kwa matatizo hayo hasa ambayo ni kero za msingi ndio utakuwa mwisho wa utawala wa ccm.Kama hamuamini maneno yangu angalieni hotuba zote za raisi kikwete tangu akiwa waziri wa nishati madini,muone kama kuna kitu chochote ambacho anakisema leo ambacho hajakisema miaka 10 iliyopita.
 
Back
Top Bottom