Mlawa Zahir
Member
- Oct 10, 2011
- 38
- 0
KWANINI EDWARD LOWASA ANATAFUTA URAIS KWA NGUVU? ANATAKA KUFANYA NN CHA MAANA? ANAWAGAWA VIJANA WA CCM KWA FEDHA ZAKE..ANAWATUMIA BENO MALISA NA JAMES MILYA NA MWANAE FRED LOWASA KULETA MGAWANYIKO UVCCM ANATUMIA UTAJIRI WAKE KULETA SHIDA KWA WANANCHI ILI WAICHUKIE SERIKALI,,AMEANZA KULETA SHIDA KWA MWAKYEMBE NA pROf MWANDOSYA KWA KUWAHOFIA...VIJANA TUKATAE MAFISADI