CCM na project mfu zilizochanganyikiwa

CCM na project mfu zilizochanganyikiwa

Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA...

Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂

Halafu sasa sababu wanazotoa ni full vichekesho.. Yaani CCM imeishiwa... I me hang any I kiss mpaka mambo inayofanya Nata mtoto mdogo anawashangaa na kuwacheka

Hizi script za sasa ni baada ya ile ya G55 kufemea vibaya sana. Haikuchelewa kujulikana kwamba asilimia 95 ni watani zangu wachaga. Hili lilikuwa bonge moja la kosa la kimkakati

Sasa wakaja na plan B ya kurekebisha kosa la kwanza.. Viongozi wa mikoa mbalimbali kuhama chama
Cha kujiuliza ni hiki.

Mbona wanahama viongozi tu bila wanachama wowote!?😂😂😂 halafu wote kwa press conference mahususi? Zinazorushwa na chombo kilekile🤔🤣

CCM maji ya shingo na mfa maji haachi kutapatapa
Chakuchekesha zaidi kuna watu ambao hawajahama chama wanajiita kua bado CDM lakini wapo front kwenye hizi press za wanaohama chama kifupi wamechanganyikiwa
 
Mzee unaingilia uhuru wa watu kuhama chama kwa kupangia muda wa kuhama?

Kwani kisheria mtu anatakiwa ahame kwa utaratibu upi?
Swali ni kwamba walipojiunga walijitangaza mbele ya vyombo vya habari?? Kwanini wajitangaze sasa kwa kuondoka?? NO REFORMS No ELECTION.
 
Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA...

Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂

Halafu sasa sababu wanazotoa ni full vichekesho.. Yaani CCM imeishiwa... I me hang any I kiss mpaka mambo inayofanya Nata mtoto mdogo anawashangaa na kuwacheka

Hizi script za sasa ni baada ya ile ya G55 kufemea vibaya sana. Haikuchelewa kujulikana kwamba asilimia 95 ni watani zangu wachaga. Hili lilikuwa bonge moja la kosa la kimkakati

Sasa wakaja na plan B ya kurekebisha kosa la kwanza.. Viongozi wa mikoa mbalimbali kuhama chama
Cha kujiuliza ni hiki.

Mbona wanahama viongozi tu bila wanachama wowote!?😂😂😂 halafu wote kwa press conference mahususi? Zinazorushwa na chombo kilekile🤔🤣

CCM maji ya shingo na mfa maji haachi kutapatapa
Engineer WA project hii makalla na Mzee wasira 😄
 
CCM inahusikaje hapa? Hizo ndio siasa mpya za upinzani CHADEMA. Umesahau timu Lissu ilivyokuwa ikiitisha mikutano kila siku wakati wa kampeni za uchaguzi wa Januari 21, kutishia kujitoa endapo Mbowe angeshinda?

Ingia YouTube. Ni kweli Mbowe angeshinda hii kimbikimbia ya sasa ungeiona siyo tu kwa wanachama bali Lissu mwenyewe na Heche wangetoka CDM na kundi lake. Watu wa Mbowe nao wanafanya kama walichokusudia kufanya watu wa Lissu. Tuachane na CCM haihusiki na upuuzi huu, mchawi wa CDM ni wao wenyewe.🙏🙏🙏
Ahsante sana.
 
Swali ni kwamba walipojiunga walijitangaza mbele ya vyombo vya habari?? Kwanini wajitangaze sasa kwa kuondoka?? NO REFORMS No ELECTION.
Kwani wanapotangaza kuondoka chadema wanakuwa wamevunja sheria ipi?!
Mbona wakati mzee Lowasa anaondoka ccm na kujiunga chadema alitangaza , halafu alivyoondoka chadema kurudi nyumbani akatangaza tena na haikuwa tatizo?!
Sema tu wanachadema wakitangaza kuondoka chadema timu Lisu mnaumia sana! Mnataka waondoke kimyakimya ili muendelee kudanganya watu kuwa chadema ina nguvu kumbe hamna kitu!
Chadema ilikufa tangu mwaka 2015 ila ilikuwa haijaanza kunuka.
Kwa sasa mzoga wa chadema unanuka na kila mtu anaona kuwa kumbe chadema iliishakufa.
 
Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA...

Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂

Halafu sasa sababu wanazotoa ni full vichekesho.. Yaani CCM imeishiwa... I me hang any I kiss mpaka mambo inayofanya Nata mtoto mdogo anawashangaa na kuwacheka

Hizi script za sasa ni baada ya ile ya G55 kufemea vibaya sana. Haikuchelewa kujulikana kwamba asilimia 95 ni watani zangu wachaga. Hili lilikuwa bonge moja la kosa la kimkakati

Sasa wakaja na plan B ya kurekebisha kosa la kwanza.. Viongozi wa mikoa mbalimbali kuhama chama
Cha kujiuliza ni hiki.

Mbona wanahama viongozi tu bila wanachama wowote!?😂😂😂 halafu wote kwa press conference mahususi? Zinazorushwa na chombo kilekile🤔🤣

CCM maji ya shingo na mfa maji haachi kutapatapa
Mimi nadhani kama kuna chama kinachokufa maji ni chadema wala sio CCM.
Ndani ya siasa hakuna rafiki wa kudumu wala hakuna adui wa kudumu.
Rafiki yako anaweza kuwa adui yako kesho na adui yako anaweza kuwa rafiki yako kesho.
Pia mifumo ya uendeshaji wa siasa ikiwa pamoja na mifumo ya propaganda za kisiasa hukubadilika kulingana na mabadiliko ya nyakati na mazingira.
Mwaka 2015 tulishuhudia mafuriko ya makundi ya watu toka sehemu mbalimbali za TZ waliokuwa waliunga mkono safari ya matumaini ya mzee Lowasa kuanzia ndani ya CCM hadi ndani ya chadema.BILA SHAKA WATU WALIAMINISHWA KUWA MZEE LOWASA KAWAHONGA PESA WAMUUNGE MKONO.
Mwaka mmoja baada ya uchaguzi watu walewale wakaanza mmojammoja wabunge kwa madiwani kuunga mkono juhudi za rais Magufuli.WATU WAKAAMINISHWA TENA KWAMBA MAGUFULI KAWANUNUA WAONDOKE CHADEMA NA KURUDI CCM.
Mwisho wa yote ikawa yuleyule Lowasa waliekuwa nyuma yake na yeye AKARUDI NYUMBANI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI.
Yanayotokea kwa sasa ndani ya chadema ni matokeo ya kiburi kinachotokana na ulemavu wa MWILI na akili alionao Tundu Lisu!.
Baada ya uchaguzi uliompa nafasi ya kuwa mwenyekiti wa Chadema mwenyekiti mstaafu Freeman Mbowe alimwambia PAUNDWE KAMATI YA KUTIBU MAJERAHA kutokana na yale manenomaneno yaliyopita wakati wa kampeni!
Mwenyekiti Lisu akavimba kichwa kwa kuona kwamba ameshakuwa mwenyekiti kwahiyo hahitaji mtu wa kumfundisha namna ya kufanya kazi!.
Matokeo ya kudharau ushauri wa mtangulizi wake ndio haya yanayotokea sasa na nyinyi mnaanza kuilaumu CCM . Kwa uhakika nyinyi ndio mnaokufa maji kwakuwa nyinyi ndio mnaotapatapa huku na huko.
CCM NI MOJA NA CCM IKO IMARA ZAIDI KULIKO ILIVYOKUWA MIAKA 5 ILIYOPITA.
Pambaneni na hali zenu , na acheni kuiingiza CCM kwenye michezo yenu ya KITOTO.
 
Kwani wanapotangaza kuondoka chadema wanakuwa wamevunja sheria ipi?!
Mbona wakati mzee Lowasa anaondoka ccm na kujiunga chadema alitangaza , halafu alivyoondoka chadema kurudi nyumbani akatangaza tena na haikuwa tatizo?!
Sema tu wanachadema wakitangaza kuondoka chadema timu Lisu mnaumia sana! Mnataka waondoke kimyakimya ili muendelee kudanganya watu kuwa chadema ina nguvu kumbe hamna kitu!
Chadema ilikufa tangu mwaka 2015 ila ilikuwa haijaanza kunuka.
Kwa sasa mzoga wa chadema unanuka na kila mtu anaona kuwa kumbe chadema iliishakufa.
Ulichoandika hapa ni tofauti na ukweli ulioko moyoni mwako.
 
Back
Top Bottom