asilimia kubwa ya wabunge wa ccm wanamini kuwa wananchi wengi hawajui kinacho endelea ndani ya nchi yao!
wanafikiri ni walewale wa 1947,wakati wengi wao tunafahamu hata upeo wao wa kifikra tangu wakiwa shuleni,
naamini wakati utawaumbua!wajue watanzania wengi mijini na vijijini kwa sasa wanauelewa mkubwa kuliko wanavyofikiria,nawapeni pole sana wanachoamini ni sawa na ndoto za mchana!