Namungula Jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 221
- 63
nimejaribu kuelewa unachotaka kutuambi alakini nimeshindwa inabidi nitafute mwalimu wa lugha zisizoeleweka anisaidie kupata gist ya huu uzi, otherwise jukwaa la utani ndio mahali pake sahihi
Umeelewa lakini unataka kutuaminisha hujaelewa ili maboss wako wasikutose