CCM na Muungano vyote havitakiwi na Wazanzibari; kwa nini wanalazimishwa?

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,856
12,359
Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao.

Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka vyama vyao vya kisiasa na siyo hivi vya kubambikiwa.

Wazanzibari wanataka uhuru wao! Hamsikii?

Your browser is not able to display this video.
 
i think ni best time wazanzbar wawe huru, nao ni binadaam, wana mawazo yao, wanajua nini wanataka, tusiwabane guys.

wawe huru, watengeneze vyama vyao, muundo wa serikari wanaoutaka wao,sheria wanazozihitaji wao nk. na sio watu from somewhere ndo wawapangie mifumo.

waacheni wazanzibar jamani wawe huru, hii muungano thing inawanyima uhuru wa kujiamulia mambo yao. Hata wakitaka watengane na tanganyika waungane na arabs au nchi yoyote ni sawa tu mbona ccm mnakua hivoo? wapeni uhuru wao bana
 
Hao nje ya Muungano, watakuwa kama Comoro, watagawanyika na kuunda shirikisho lao au mwaarabu atawatawala, maana wanawathamini sana waarabu.
Hawajioni kama wao ni Binadamu, bila uwepo wa mwarabu.
 
Kwa nini hawa watu ndani ya clip wasitafutwe waunganishwe na Lisu kama wachochezi? Au chawa wanawaogopa ?
 
Halafu huku Tanganyika watu fulani wanamoinga Tundu Lissu.. Mbona huko Zenji hawakemewi kwa maneno hayo wanayotoa kwenye mihadhara yao?
 
Uhuru gani mnataka. Wenye kutaka uhuru ni wale wajinga na vibaraka wanaofikiri wao ni waarabu.. Hamuendi popote nyie waulizeni babu zenu kama nyie sio wandengereko wazaramo wangoni na wamatumbi. Tuwaachie kisha mtuhujumu uchumi kama kenya wanavyofanya? Ng'o hamuendi popote nyie.
 
Sawa ila hawaitaki CCM wala Dodoma kuwaamulia mambo yao ya ndani!
 
Zanzibar lazima iwe huru!
 
Nikuambie Kitu kwa akili za wazanzibar tukiwaacha wakabaki peke yao nakuambia watatengana visiwa wale jamaa.
Km umeshawai kuishi Zanzibar hasa pale Kisiwa Cha unguja wale waunguja hawawapendi Sana wapemba, na wanawaita kwa dharau Sana hasa pale wanapokutana wao kwao, na mbaya zaidi wakitofautiana kidogo tu ndo utajua walivyo na mioyo ya Chuki baina yao....ni hatari Ogopa aa
 
Hao nje ya Muungano, watakuwa kama Comoro, watagawanyika na kuunda shirikisho lao au mwaarabu atawatawala, maana wanawathamini sana waarabu.
Hawajioni kama wao ni Binadamu, bila uwepo wa mwarabu.
Ni haki Yao kuwa kama Comoro au vyovyote watakavyo. Kama wanataka muarabu ni haki Yao, nani kakuambia wanatutaka sisi wabantu?
 
bora wasepe kwao watuachie ardhi yetu umeme wetu kila kitu chetu waache wasepe hata wakiungana na waarabu ni juu yao tunalazimisha sera za kale kajamaa kalishindwa kila kitu kakaona kaje na igizo la muungano 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…