Ngugu wana Jf nakumbuka wiki chache zilizopita Mh zito kabwe alikuwa ktk mvutano mkubwa na wanachama wenzake ndani ya chadema baada ya kupinga kitendo cha wabunge wa CDM kutoka nje wakati mkuu wa chi akihutubia
lakini pia alipinga kitendo cha Mkuu wa CDM kuwa achisha kazi wafanyakazi wawili ktk ofisi ya makao makuu ya CDM
sasaa ameamuwa kuweka wazi kwanini hayo yote yanatokea juu yake eti ni kutokana na chuki dhidi yake baada ya kutia nia ya kugombea uraisi 2015
Huwa naamini kuwa mahali popote pale hata hapa JF kama ukiwa mkweli na muwazi kwa kila jambo hutopendwa na wasiopenda ukweli na uwazi
hivyo Mh Zito Kabwe anaponzwa na ukweli na uwazi wake anaoutowa kwa kila jambo ndani ya chama na kwa wale wasiopenda ukweli wa mambo wataendelea kumchukia zito hadi kufa kwani ndivyo alivyo.
Mh Zito Kabwe,endelea na msimamo wako ilimradi tu usikivuruge chama chetu,
msema ukweli hapendwi mahali popote pale duniani
mapinduziiiii daimaaaaaa :target::target:
Am fade up with Zito stories! The man lost qualities of deserving my attention a long time ago. All of this is because Zitto is an attention seeker and he likes cheap popularity sandwiched with foolish and ungrounded arrogances and pride. Honestly I am not interested with his malicious double-dealing game he is playing.
Zitto please give CHADEMA a break! Blame your constipation of your mind and diarrhea of your mouth for everything that is going wrong to you. If your mission is to sabotage opposition for the interest of ccm and jk, you have failed. Get informed that Chadema will keep on flourishing and growing stronger with the confusions that you and your syndicate are trying to engineer.
Shame on you Zitto the traitor!
Consistency unayoizungumza wewe ni ipi? Kuwasiliana na rais pamoja na other ccm members saa chache kabla ya walk out? Kukimbilia media na kutafuta umaarufu? Au kuomba uwaziri kwa Kikwete? Acheni kuiharibu CHADEMA kwa kuendelea kumjaza Zitto ujinga ilhali mama yake mwenyewe kakili mtoto si rizkiSijaona Zitto akiyumba kimsimamo tofauti na wanasiasa wengine wa Chadema, amekuwa consistent katika kile anachikiamini; na mara zote wakati umetuonyesha kuwa alivyovisimamia vimekuwa sahihi.
Suala hapa ni siasa za maji taka ata its best, tungekuwa tunaangalia facts, Zitto ameprove kuwa na mtizamo wa mbali sana kuliko wanasiasa wengi tunaowaona leo kuwa wapo sahihi, tunahitaji watu wengi zaidi kama Zitto ili kulikwamua taifa hili kutoka kwenye siasa za kifuasi na uadui na kuwa siasa za hoja kwa maslahi ya taifa.
Where i highlighted RED nimjibu professionally- 1. hakuna fitina umeji fitinisha mwenyewe a) kwa kupingana na wabunge wenzako during Walk-out, tukajua ww si mwenzetu b) la kugombea urais hizo ni ndoto kila mtu ana ndoto hata za Ali nacha zilikuwa ndoto, usijidanganye ww maarufu, that is not sign of intellectuals instead you will expose u r arrogance.
- 2. uliposema Dowans inunuliwe na Serikali na kila mmoja anajua wazi Ufisadi na kupeana na Richmond ulikuwa unaota? au ulilishwa na mafisadi mara baada ya kuwa kamati ya madini?
- Nikushauri, usiongee kwenye magazeti thinking u will convince watu waelewa, we work with data na matendo ya mtu si unacho ongea,
- maneno waambie wasiokuwa na memory, ww unajua CDM members we have high & unlimited memory, tunaangalia matendo ya mtu na data kuhusu msimamo wake kisiasa, ww unahongeka kirahisi Zitto we confirmed thru you, still tupo pamoja watching you with an eagle eye, kanyaga twende
Ngugu wana Jf nakumbuka wiki chache zilizopita Mh zito kabwe alikuwa ktk mvutano mkubwa na wanachama wenzake ndani ya chadema baada ya kupinga kitendo cha wabunge wa CDM kutoka nje wakati mkuu wa chi akihutubia
lakini pia alipinga kitendo cha Mkuu wa CDM kuwa achisha kazi wafanyakazi wawili ktk ofisi ya makao makuu ya CDM
sasaa ameamuwa kuweka wazi kwanini hayo yote yanatokea juu yake eti ni kutokana na chuki dhidi yake baada ya kutia nia ya kugombea uraisi 2015
Huwa naamini kuwa mahali popote pale hata hapa JF kama ukiwa mkweli na muwazi kwa kila jambo hutopendwa na wasiopenda ukweli na uwazi
hivyo Mh Zito Kabwe anaponzwa na ukweli na uwazi wake anaoutowa kwa kila jambo ndani ya chama na kwa wale wasiopenda ukweli wa mambo wataendelea kumchukia zito hadi kufa kwani ndivyo alivyo.
Mh Zito Kabwe,endelea na msimamo wako ilimradi tu usikivuruge chama chetu,
msema ukweli hapendwi mahali popote pale duniani
mapinduziiiii daimaaaaaa :target::target:
Yataka moyo kuweza kumkomboa mhanga wa siasa za matumbo na ujanjaujanja.......
Bana ee, tusidanganyane. Wangebaki Chadema pengine wasingeshinda. Baada ya kuhama, waliwezeshwa kifedha na mafisadi kupitia zitto ili kukomoa Chadema. Walikuwa ni nyoka wa zitto ndani ya Chadema kusambaratisha chama. Zitto anatumia kushinda kwao kupitia chama siyo rizki kutishia uongozi wa Chadema wasije fukuza nyoka wake waliobakia Chadema. Hatudanganyiki!
Kweli Ukipenda hata Chongo huita Kengeza, Sijui Kuyumba Kimisimamo una maana gani, Labda kama una maanisha kung'ang'ania kile kitu hata ambacha watu wamekuprove kwamba uko wrongSijaona Zitto akiyumba kimsimamo tofauti na wanasiasa wengine wa Chadema, amekuwa consistent katika kile anachikiamini; na mara zote wakati umetuonyesha kuwa alivyovisimamia vimekuwa sahihi.
Tatizp la Kumfananisha Zitto na Wanasiasa Wengi nako ni TatizoSuala hapa ni siasa za maji taka ata its best, tungekuwa tunaangalia facts, Zitto ameprove kuwa na mtizamo wa mbali sana kuliko wanasiasa wengi tunaowaona leo kuwa wapo sahihi, tunahitaji watu wengi zaidi kama Zitto ili kulikwamua taifa hili kutoka kwenye siasa za kifuasi na uadui na kuwa siasa za hoja kwa maslahi ya taifa.
Consistency unayoizungumza wewe ni ipi? Kuwasiliana na rais pamoja na other ccm members saa chache kabla ya walk out? Kukimbilia media na kutafuta umaarufu? Au kuomba uwaziri kwa Kikwete? Acheni kuiharibu CHADEMA kwa kuendelea kumjaza Zitto ujinga ilhali mama yake mwenyewe kakili mtoto si rizki
Zitto anapata migogoro Chadema kwa Dini yake, chadema hawatokubali kuona muIslam anakuwa Mwenyekiti, ilo asahau kabisa. Huo ndio ukweli.
Watanzania amkeni, nyakati za wazembe wachache kupata madaraka kwa kuchezea maneno tu zimepitwa!! Tanzania ndio nchi pekee ambapo weza tunga vimaneno vikakupa uongozi mkubwa tu!!
Una data gani,usizungumze kama wewe ni msemaji wa watanzania wote,acha chuki na ujinga.wapo wanaomkubali sana Zitto,msijidanganye kuwa jamaa anachukiwa,watanzania wanajua ukweli na vita anayopigana inatokana na nini na kila siku mnamzidishia umaarufu .Tanzania Daima na Mwanahalisi hayatoshi na hayana heshima ya kumharibu Zitto.Acheni kupigana vita na Ztto,futeni mapungufu yaliyoko CHADEMA na acheni demokrasia ichukue mkondo wake kwenye chaguzi zenu.
Ndg Butola