Ccm wanafanya mkutano hapa temeke mwisho.. Uwanja ule ule ambao Cdm walifanya mkutano last week..
Msemaji mmoja anadai chadema wameshindwa kufanya mkutano ubungo au kawe kwa kuwa wangepigwa mawe.. Kisa hakuna walichokifanya majimbo ya huko..
Huyo si yule kada aliyekumbwa na Kashfa ya sukari?Wanasema sasa hivi Chadema wakiweka mkutano na wao wiki inayofuatia wao (ccm) wanakuja kufuta wanachodai matuci na kebehi...
Anaingia sasa Madabida (mwenyekiti wa ccm Dar).. Mwenye kashfa ya kuuza arv fake..
Ccm wanafanya mkutano hapa temeke mwisho.. Uwanja ule ule ambao Cdm walifanya mkutano last week..
Msemaji mmoja anadai chadema wameshindwa kufanya mkutano ubungo au kawe kwa kuwa wangepigwa mawe.. Kisa hakuna walichokifanya majimbo ya huko..
Mgeni wa heshima ni Nape.. Naona kuna waziri Maghembe hapa.. Na Wabunge wa ccm wa mkoa wa Dar...