Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 Sep 25, 2020 #2 Baadhi ya viongozi wetu wametokana na aina hii ya life standard. Kwa hakika lazima moto utuwakie
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,884 155,865 Sep 25, 2020 #3 Malcom XX said: View attachment 1579282 Click to expand... Mnaacha kuboresha hali za maisha za watu wenu, mnaenda kununua mandege wakati watu wenu hawana hata maji Safi ya kunywa, hawana access ya matibabu, hawana Elimu bora. CCM pumbavu kabisa
Malcom XX said: View attachment 1579282 Click to expand... Mnaacha kuboresha hali za maisha za watu wenu, mnaenda kununua mandege wakati watu wenu hawana hata maji Safi ya kunywa, hawana access ya matibabu, hawana Elimu bora. CCM pumbavu kabisa
share JF-Expert Member Nov 22, 2008 6,062 10,461 Sep 25, 2020 #4 Malcom XX said: View attachment 1579282 Click to expand... Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa. Halafu linatokea Rais anayempiga risasi raia anayetaka kuliinua Taifa kuondokana na unyonge huu!!!
Malcom XX said: View attachment 1579282 Click to expand... Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa. Halafu linatokea Rais anayempiga risasi raia anayetaka kuliinua Taifa kuondokana na unyonge huu!!!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,021 Sep 25, 2020 #6 hii ndiyo CCM mpya kabisa yani.
peno hasegawa JF-Expert Member Feb 24, 2016 12,828 21,457 Sep 25, 2020 #7 Kinyerezi said: Mtendachi SM, Mtwara (V)View attachment 1580485 Click to expand... Jamani ondoeni ccm madarakani. Hii ni Laana.
Kinyerezi said: Mtendachi SM, Mtwara (V)View attachment 1580485 Click to expand... Jamani ondoeni ccm madarakani. Hii ni Laana.
peno hasegawa JF-Expert Member Feb 24, 2016 12,828 21,457 Sep 25, 2020 #8 Malcom XX said: View attachment 1579282 Click to expand... Jimbo la Bukombe mkoa wa Geita