mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,698
Nimekaa napitia video ya tukio la jana jukwaa la mgeni rasmi, ghafla naona mashati kadhaa ya ccm, jamani-hivi ni kweli unaweza vuka miaka 18 na bado ukawa bogus kiasi hiki???
Tukio lile lina uhusiano gani na chama cha mapinduzi, au kwenda tu kuharibu taswira nzima ya uwepo wa watu na akili zao pale, kuonekana ni kunadi chama flani???
Hivi wangekuwa ni wengine wamevaa za kwao zile nyekundu/nyeupe wangeruhusiwa hata kupita getini??
Huwa napenda mambo kama haya zitumike akili za kawaida tu, wala hakuna maana kuonekana flani ni mjinga sababu ya chama alichopo,
Kama kuna anayesoma hapa kati ya wale, au anamfahamu mmoja wapo, ajue nimemfananisha na kuku au mbuzi.
Huu ni ujinga wa kukemewa.