Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
- Thread starter
-
- #21
kuumia kwako hakuwezi kunifungaNaweza kukusifu kuwa wewe sio mnafiki siku utakapo jitokeza kwenye mkutano wa hadhara na kutamka hayo maneno hapo nitakusifu wewe haswa mkweli! Lakini upo kwenye PC unaijisfu huko ni unafiki
ukiogopa kuesema ukweli jinsiYap! Tupingane kwa hoja lakini sio kwa lugha za kejeli na dharau
sitafuti kuungwa mkono na wafuasi wa mafisadi na mamluki wa viongozi wezi wasiokuwa watekelezaji wa majukumu juu ya utawala wao, wewe ni mmoja wa wanaokula upenuni mwa kikwete tena vyakula vya kunyongwa, vyenye manung'uniko, tena visivyokuwa na baraka za MunguIla hakuna atakaye kuunga mkono kwa lugha zako za kejeli zisizo na staha wala adabu!
alokwambia kuwa mimi ni raia wa Msumbiji nani?Uhuru mwingine usivuke mipaka, we sema ccm na si raisi wetu! yaani unamfananisha raisi na kandambili!
Hee, usipandishe munkali anatumia fasihi! Ni kwamba kikwete kwake is not a cup of tea, hata asipokuwa rais bado mambo yatakwenda! Kwa maana nyingine, kandambili kwake zina msaada zaidi ya kikwete na sisi emu, si ndivyo Anyisile?Uhuru mwingine usivuke mipaka, we sema ccm na si raisi wetu! yaani unamfananisha raisi na kandambili!
afadhari ulikwepo mkuu,Hee, usipandishe munkali anatumia fasihi! Ni kwamba kikwete kwake is not a cup of tea, hata asipokuwa rais bado mambo yatakwenda! Kwa maana nyingine, kandambili kwake zina msaada zaidi ya kikwete na sisi emu, si ndivyo Anyisile?
Kwa hili mkuu Anyisile inabidi kuwavumilia kwani uwezo wa kuelewa tunatofautiana. Dawa ya jipu ni lazima likamuliwe japokuwa linauma! Kikwete aliingia akibeba matumaini ya watanzania, na kama nilivyotarajia, amewaangusha kinoma, kama vile nilijua sikumpa kura yangu, nikiami ni msanii!afadhari ulikwepo mkuu,
tatizo wengi wetu tunakurupuka kujibu post tu bila kujua mwandishi amesimama juu ya nini, na nini hoja yake ya msingi
Hii kali!! Nafikiri ni vizuri mkazionyesha hizo hasira zenu kwenye uchaguzi mwezi wa kumi. Maana si ajabu wewe unayetuandikia haya hapa jamvini mwezi wa kumi ukifika utanunuliwa na fedha za kifisadi ukawa kwenye misafara ya Kiikwete au meneja wa kampeni za CCM unasaidia kuipigia debe CCM ishike nafasi kwa mara nyingine.
mkuu uko sahihi, hakika harufu ya msalani haiwezi kuwa manukato hata siku moja tatizo ninaloliona hapa kwetu, tunapenda kumsifia mtu si kwa uwezo bali mapenzi ya umaarufu wake na anapokuja mtu akakosoa jambo juu ya mtu huyu basi wale wafki wa ufuasi kwa mtu huyo watakuja juu,Kwa hili mkuu Anyisile inabidi kuwavumilia kwani uwezo wa kuelewa tunatofautiana. Dawa ya jipu ni lazima likamuliwe japokuwa linauma! Kikwete aliingia akibeba matumaini ya watanzania, na kama nilivyotarajia, amewaangusha kinoma, kama vile nilijua sikumpa kura yangu, nikiami ni msanii!
lazima tufikie uozo tuite uozo na manukato tuyaite hivyo, tutoe unafiki hata kama unafaidika na ufidhuli unaoendelea! kwani angefanya mema hata tu kujitoa muhanga kukemea kwa vitendo ufisadi kwa manufaa ya watanzania waliomuamini, isipokuwa mimi, tusingemsifu na kusema anatufaa, mbona mpaka leo japokuwa mwalimu alikuwa na mapungufu yake hatusiti kumsifu kuwa nu mfano wa kuigwa. Rais wa Rwanda, pia pamoja na mapungufu yake lakini kwa muda huu tu amekuwa ni kiongozi wa kupigiwa mfano! sasa kulikoni kwa rais wetu!
mkuu Anyisile, Naamini ktk ungwe ya kwanza rais huwa anajitahidi sana kuonyesha kwamba kweli anaweza na anastahili kupewa ngwe nyingine na waajiri wake (walala hoi), hii ni kutokana na kuwepo kwa check-point (uchaguzi baada ya miaka hiyo 5). kwa utendaji kazi alioonyesha kipindi cha kwanza, mheshimiwa huyu, akichaguliwa tena tutegemee nini ktk kipindi hiki cha lala salama wakati traffic hawapo tena na basi ndio limefunguliwa 'speed gorvernor', usalama upo hapo! Mungu ibariki Tz, Mungu bariki watz!