Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
tatizo letu watanzania ni wkufunzi wa usoma nyota, yaani utabiri, lakini ni wasoma nyota batili, hasa kazi kubwa tuliyonayo si kutafakari kwa makini ni nini mtu unapaswa kukifanyia utabiri, maana haiwezekani mtu usimame Ubungo na kuangalia kimara harafu useme unatabiri kuwa uwanja wa ndege uko mjono wako wa kulia sasa hapa vipi?Hii kali!! Nafikiri ni vizuri mkazionyesha hizo hasira zenu kwenye uchaguzi mwezi wa kumi. Maana si ajabu wewe unayetuandikia haya hapa jamvini mwezi wa kumi ukifika utanunuliwa na fedha za kifisadi ukawa kwenye misafara ya Kiikwete au meneja wa kampeni za CCM unasaidia kuipigia debe CCM ishike nafasi kwa mara nyingine.
ndala ama kandambili kama zinavyojulina na wengi, humsitiri sana mtu aingiapo msalani, kwa kawaida anayejua vizuri umuhimu wa afya yake hawezi ingia msalani bila kandambili,
je CCM imetusitiri kwa madogo kama ya kandambili? ikiwa kandambili ni bora kuliko CCM, basi ni dhahiri kuwa kandambili ni bora kuliko raisi Kikwete pia, lakini shamani kwa wana CCM humu ndani huo ni mtazamo wangu tu!!
let me know howAgain this is too much for him
Mix with yours
Hii kali!! Nafikiri ni vizuri mkazionyesha hizo hasira zenu kwenye uchaguzi mwezi wa kumi. Maana si ajabu wewe unayetuandikia haya hapa jamvini mwezi wa kumi ukifika utanunuliwa na fedha za kifisadi ukawa kwenye misafara ya Kiikwete au meneja wa kampeni za CCM unasaidia kuipigia debe CCM ishike nafasi kwa mara nyingine.
Hapo unaweza pata picha huyo mtu kwenye maisha ya kawaida ni mtu wa namna gani!si ajabu ameshapata kutakuna hata wazazi wake huyo!Uhuru mwingine usivuke mipaka, we sema ccm na si raisi wetu! yaani unamfananisha raisi na kandambili!
ana umuhimu kwako wewe, pengine unakula upenuni mwake, mimi ndivyo nionavyoUhuru mwingine usivuke mipaka, we sema ccm na si raisi wetu! yaani unamfananisha raisi na kandambili!
wewe naona hiyo imekuuma sana, lakini huyo raisi wako kwangu ni kijana mwenzangu tu, lakini ukweli kwa mtazamo wangu uko pale pale, nimsifie hasa kwa lipi?Hapo unaweza pata picha huyo mtu kwenye maisha ya kawaida ni mtu wa namna gani!si ajabu ameshapata kutakuna hata wazazi wake huyo!
wewe naona hiyo imekuuma sana, lakini huyo raisi wako kwangu ni kijana mwenzangu tu, lakini ukweli kwa mtazamo wangu uko pale pale, nimsifie hasa kwa lipi?
hata kandambili zingenisitiri kwa safari za msalani nisingizisifia, muhi tupingane kwa hoja na si vinginevyo
hujafahamu kuwa yeye ni kiongozi wala hana daraja la baba, huu mfano wako ni wa zamani enzi za jua lileee litelemke mamaaaa! aiya iya iyaaa mamaaa, hiyo itakusaida wewe na mtazamo wako wa kikwete kuwa mzazi wakoYap! Tupingane kwa hoja lakini sio kwa lugha za kejeli na dharau!Wewe kwa mfano tu!kama una baba yako mzazi amekosa kukupa huduma muhimu kama mzazi wako unaweza sema huyo baba hana maana bora hata kandambili?
tatizo watu wanataka jk asikosolewe, mi kwangu ni ngumu, maana sijaumbwa hivyo kuwarambamkuu usemalo laweza kuwa kweli ikiwa base line ni kusetiri. Wengi hatuoni na ni dhahiri kila mtz ukimuuliza for five years atakwambia bora ndala au kandambili. Na wanaodai oktober ndiyo kipimo, sijui ni formula ipi wameiweka kuhakikisha kuwa ccm hawataiba kura as last.
s
hivi nikifanya hayo yote hapo kwenye bluu na mwisho wa siku kwenye kura nisiichague CCM kuna ubaya? maana ninaelewa kwenye chumba cha kura nitakuwa peke yangu....ipo shida gani?
ndala ama kandambili kama zinavyojulina na wengi, humsitiri sana mtu aingiapo msalani, kwa kawaida anayejua vizuri umuhimu wa afya yake hawezi ingia msalani bila kandambili,
je CCM imetusitiri kwa madogo kama ya kandambili? ikiwa kandambili ni bora kuliko CCM, basi ni dhahiri kuwa kandambili ni bora kuliko raisi Kikwete pia, lakini shamani kwa wana CCM humu ndani huo ni mtazamo wangu tu!!
Hakuna anayekulazimisha au kukushawishi uumunge mkono Kikwete au umsifu Kikwete,Tunazungumzia Lugha Mkuu,umetumia mfano ambao haupendezi .Sidhani hiyo lugha uliyeitumia hapa ungeweza kuitumia ndani ya kadamnasi!hujafahamu kuwa yeye ni kiongozi wala hana daraja la baba, huu mfano wako ni wa zamani enzi za jua lileee litelemke mamaaaa! aiya iya iyaaa mamaaa, hiyo itakusaida wewe na mtazamo wako wa kikwete kuwa mzazi wakotatizo watu wanataka jk asikosolewe, mi kwangu ni ngumu, maana sijaumbwa hivyo kuwaramba
viatu eti kwa kuwa nitaonekana nawakejeli pale nitakapotoa kile ninachokiona kuwa ndiyo msingi wa mtazamo wangu sitaki kuwa kuwa mnafiki juu ya hilo!
sawa mkuu,Hakuna anayekulazimisha au kukushawishi uumunge mkono Kikwete au umsifu Kikwete,Tunazungumzia Lugha Mkuu,umetumia mfano ambao haupendezi .Sidhani hiyo lugha uliyeitumia hapa ungeweza kuitumia ndani ya kadamnasi!
Naweza kukusifu kuwa wewe sio mnafiki siku utakapo jitokeza kwenye mkutano wa hadhara na kutamka hayo maneno hapo nitakusifu wewe haswa mkweli!
Lakini upo kwenye PC unaijisfu huko ni unafiki
Kingine kejeli zako wala hazimwathiri Kikwete kukosa kura au kutoungwa mkono na wengine!
Hizo lugha unazotumia mara nyingi hutumiwa na vijana waliokulia mitaani ambao hawakupewa malezi mazuri ya wazazi!Kwa hiyo sitoshangaa sana kuona unaendelea kushikilia msimamo wako ya kuwa lugha ulioyoitumia kukosoa upo sawa!
ya kwa hapo wewe wala hujakosea ni kweli mimi sijalelewa na jumuiya za wazazi za CCM kama wewe hiki ndicho kilichopelekea mimi kukosa malezi ya umoja ya umoja wa vijana wa CCM, na kuwa mmoja wa wanaoitikia tawile kwa kila jambo, hiyo ndiyo tofauti kubwa iliyopo kati yangu mimi na weweHizo lugha unazotumia mara nyingi hutumiwa na vijana waliokulia mitaani ambao hawakupewa malezi mazuri ya wazazi!Kwa hiyo sitoshangaa sana kuona unaendelea kushikilia msimamo wako ya kuwa lugha ulioyoitumia kukosoa upo sawa!
hiyo si kejeli kama unavyodhani, pengine kwa kuwa naupeo mfupi wa tafakari zako juu ya posti ila umejaa sanaKingine kejeli zako wala hazimwathiri Kikwete kukosa kura au kutoungwa mkono na wengine!