Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Sijui kawaalaani nai CCM : Baada ya T-shirt, khana, vikofia, na uchafu mwingine sasa wameingia ktk mawazo ya kimasikini tena....sasa wanatoa vifaa vya michezo kwa watu waliofikia umri usipewa nafasi tena ya kucheza professional game.Mbaya zaidi wanazidi wafanya hawa watu wavivu tena kwa kuwapa mshindano km kombe wa la bulaya, mwigulu, sijui na nani.....hii ni hongo cheap na expensive sana kwa taifa.
Hawa jamaa ambao ni masikini, na umri umepita , wanapewa mipira si kwa ajili ya kujenga afya ila kwa ajili ya kuwafanya wavivu na busy muda wote kwa ajili ya mbuzi.....baadaye wanabaki masikini.Kisingizio ni kwamba eti wasiwe wezi..
hapo ndipo ninapowachukia sana CCM....kuwatoa watu kazini na kuwachezesha michezo ya kuwasaidia hao wanasiasa kupata ulaji, mwisho wa siku wakirudi ni masikini zaidi kwani hata kazi zao zilizokuwa zikiwapa kidogo nazo ninakuwa zimepigwa chini na wakirudi basi ni kuanza moja.HAPA NAPE, BULAYA, NA MWIGULU AND THE SORT HAWAWEZI SEMA KUWA WANAZUIA HAWA JAMAA KUWA VIBAKA WAKATI WANACHOKICHEZA SI AJIRA, NA BAAD AYA HAPO HAWANA HAKIKA YA MLO NA MAHITAJI MENGINE...MBAYA ZAIDI BAADA YA HAPO AHAKUNA KITU TANGIBLE KTK MAISHA YAO KIUCHUMI.HAWA JAMAA WANGEPASWA KUTO AHIYO MIPIRA BILA KUANDAA UJINGA WAO, KWANI HAO VIJANA WAZEE WANGECHEZA KWA MUDA WAO BAADA YA KAZI ILI KUIMARISHA AFYA NA PENGINE WALE WADOGO WANGEWEZA JIJENGA KIMICHEZO KM WENYE VIPAJI WATAPANDA HADI KWENDA KUWA PROFESSIONALS.
Km kawa akina Nape wameingia chaka kwa fikra za wasomi wetu wa kudesa...michezo kupunguza uhalifu ni kwa kuwekeza ktk vijana, ambao baadaye wasipofanikiwa darasani basi wanakuwa na ajira ktk michezo kw akuwa professionals, ila si kuwafanya watu wavivu ,halafu baadae wakimaliza michezo wanajikuta wana ukata unaowahitaji njia fupi kupata vitu.Kwanza ktk michezo ya kivuvu kijijini watu wanaocheza ni wachache zaidi ya wanaoangalia, na hivyo wengi kuishia tongozana na kufanya ngono zembe km ktk mbio za mwenge.Kibaya zaidi wanamichezo wetu wengi hata walio professionals ndio hao wanaouza unga, wanavuta bangi, ndio wanaotumika vibaya sana.
CCM......mama wewewewewe........................................