CCM mwisho venus, duniani kila mtu UKAWA

CCM mwisho venus, duniani kila mtu UKAWA

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Wakuu heshima zenu.
Kwa haya mambo yanayoendelea sasa na dhahiri shahiri kuwa mwisho wa hawa jamaa umefika.Haiwezekani kila nyanja kila kitu mkoroganyiko, mi naumia sana na ctaki hata kulisikia hilo neno CCM.Mpango mzima unaanza mwezi ujao pale tutakapowapiga bao la lala salama ndani ya dakika tisini.Halafu mwakani tunawapiga nyingi dakika za mwanzoni.

Nadhani mmenielewa, pamoja daima
 
unaota kabisaa ndoto za mchana, sisi wadandanyika kama sio wadandianyika tunapenda kuongea sana na sio watendaji, Nataka kujua kusikia toka kwa je umeshajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura? ili uweze kushiriki kupiga kura ifikapo December 14? kama ndio nakuruhusu kuendelea kuwahamasisha wengine kama jibu nihapana utakuwa kwenye ndoto we we.
 
Mkuu sio tu kujiandikisha, Mungu akijalia mwakani ntaomba ridhaa ya wananchi katika uchaguzi ujao, this is our time to shine.Hawa jamaa lazima waondoke tujenge nchi yenye furaha kwa kila mtu.FURAHA KWA KILA MTANZANIA INAWEZEKANA
 
Chini ya Katiba hii ya kale na Tume hii inayofuata sheria hizi CCM itatawala milele!!
 
Chini ya Katiba hii ya kale na Tume hii inayofuata sheria hizi CCM itatawala milele!!
Jamaa alishapotea huyo, ndo namkumbusha.CCM tutatawala daima, tena kidemokrasia zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom