CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

MAFILILI, pole sana ndugu yangu. Hebu tukumbushane tu kidogo;

.

MAFILILI kwa kujisahau...! Kwa unafiki unasikitisha, unaudhi na unatia huruma! Eti CCM mwendo mdundo! Chadema yaanguka...kweli CCM ni Chama Cha Mazezeta!

Mkuu mag3 nakukubali sana kwa kupangua hoja za hawa majambzi wezi wa nchi hii kwa data umekata mzizi wa fitna wa huyu mafilifili lol!
 
MAFILILI, pole sana ndugu yangu. Hebu tukumbushane tu kidogo;

.

MAFILILI kwa kujisahau...! Kwa unafiki unasikitisha, unaudhi na unatia huruma! Eti CCM mwendo mdundo! Chadema yaanguka...kweli CCM ni Chama Cha Mazezeta!

Mtazamo wa wananchi umebadilika ghafla baada ya tamko la CC; watu wamerudisha imani kwa kasi ya ajabu kwa CCM huku CDM ikikosa mvuto kwa kazi kubwa
 
Mtazamo wa wananchi umebadilika ghafla baada ya tamko la CC; watu wamerudisha imani kwa kasi ya ajabu kwa CCM huku CDM ikikosa mvuto kwa kazi kubwa
Kwa mjinga kama wewe hakuna dawa! sisi tuliko huku mtaani tunaona kuwa CHADEMA wamefanikiwa kuiwajibisha serikali ya kishikaji na kuanza kufikiri kuchukua hatua. Wewe endelea na ujinga wa wanausalama wa taifa kuitetea CCM na erikali yake badala ya kuisaidia
 
mafilili ungejua maana yake usingetumia hilo jina! wakenue meno kwa lipi?wao wanatuiibia pesa zetu,wanatufanya tuishi maisha magumu,wao wanaishi kama wako peponi na familia zao ,halafu ww ushapewa posho unaandika uchafu wako huu,yaani watu kama nyie mngejua tulivyo na hasira mngekaa kimya.
 
Sio lazima mtu awe na degree ili kutambua kuwa ulichoandika ni moshi/vumbi!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sijawahi kuona rais duniani anaongoza nchi kwa akili za kuomba ndani ya cc ya chama chake haswa kwa jambo ambalo halihitaji mjadala kama la wizi wa mali ya umma.
huyu inabidi aingie kwenye kitabu cha jinesi.
 
Mtazamo wa wananchi umebadilika ghafla baada ya tamko la CC; watu wamerudisha imani kwa kasi ya ajabu kwa CCM huku CDM ikikosa mvuto kwa kazi kubwa
Yaani wewe unafikiria kwa kutumia ****** Serikali inawajibu wa kuwajibisha na usifikiri wanachadema tungefurahia serikali kuto kuwajibika huo sio mtaji wetu. CDM itasonga mbele daima
 
Inasikitisha kwa watu wasiotambua hili: kwa hali ilivyo sasa katika Nchi ya Tanzania CHADEMA ndio wanaongoza nchi na ndio wanaoiamulia Serekali nini cha kufanya, kwa sasa wao ndio wamemuajiri Rais na wanaweza kumfukuza kazi saa yoyote.
 
Aaa wapi!
 
.......the name is exactly the representation of the meassage!
****....
 
Sijaelewa kidogo, unamaanisha Rais Baba Mwanaasha amelivunja baraza la mawaziri wa CHADEMA au mawaziri ni wa CCM?

Kweli CCM inapaa baada ya kuwa nyepesi kufuatia kuondokewa na rundo la madiwani wake na wanachama plus Millya. Hongera Dr.Slaa kwa kuipaisha CCM kwa mikutano yako.

Mafalili una akili sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…