Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 897
- 559
Mbona kama wamekaa mika hawa ? Kule songea Jk na wanafunzi
idadi ya watu waliopo ni 36.matangazo Jana usiku yalikuwa balaa
Vick Kamata , ameshapona ?Majita kweli ni aibu jana mchana wametangaza jimbo zima na vick kamata wakitangaza mkutano usiku mzima matangazo sasa naona watu nkumi nkaga
Vipi dr.slaa kishaoa?
Keshaowa kamuowa mama yakoVipi dr.slaa kishaoa?
Keshaowa kamuowa mama yakoVipi
dr.slaa kishaoa?
usiwe na haraka,ana mp
ango wa kumuoa mamako!
Vipi dr.slaa kishaoa?
Keshaowa kamuowa mama yako
Vipi dr.slaa kishaoa?
chama cha mapinduzi mwanza kimeibika na kujikuta kinapiga mziki na kukosa watu huku mwanafunzi wa shule za msingi wakiwa ndiyo wafuasi wao. Mpaka sasa wanautubia wengi ni chadema ambao wamekaa kando ya kiwanja msemaji wao anasema wenje afungashe virago vyake jimbo linarudi ccm. Anasema wenje ameshindwa kujenga barabara, vyoo, zahanati, maji, umeme, anasema chadema na cuf wako tiari kukubali ushoga kisa misaada anaendelea kusema vyama hivi wanataka vita. Ukweli ni aibu kuu hakuna watu, watu wamekikataa ccm
idadi ya watu waliopo ni 36.matangazo Jana usiku yalikuwa balaa
Chama cha mapinduzi Mwanza kimeibika na kujikuta kinapiga mziki na kukosa watu huku mwanafunzi wa shule za msingi wakiwa ndiyo wafuasi wao. Mpaka sasa wanautubia wengi ni CHADEMA ambao wamekaa kando ya kiwanja msemaji wao anasema Wenje afungashe virago vyake Jimbo linarudi CCM. Anasema Wenje ameshindwa kujenga barabara, vyoo, zahanati, maji, umeme, anasema CHADEMA na CUF wako tiari kukubali ushoga kisa misaada anaendelea kusema vyama hivi wanataka vita. Ukweli ni aibu kuu hakuna watu, watu wamekikataa CCM