aise ni kweli hilo lilitokea?
LOWASA na SITTA wanaokesha makanisani na misikitini kuomba kura ni wana Chadema?si shangai, Ingekuwa Chdema wasinge zomea kwasababu CHADEMA NA kANISA ni kama pete na kidole
Kwasababu kanisa linapenda HAKI au? Pengine ulikua na maana tofauti na hiyo nilioitoa!?si shangai, Ingekuwa Chdema wasinge zomea kwasababu CHADEMA NA kANISA ni kama pete na kidole
Katika hali isiyo ya kawaida tareha 17 july 2013,Chama cha Mapinduzi kilipatwa na msiba kwa kufiwa kada wake ndugu Chombo aliyekua balozi ndani ya mtaa wa Mandu Mashariki hapa jijini Mwanza,mwili ulipelekwa kanisa katoliki kigango cha Mandu kwa ibada,jeneza lilifunikwa kwa bendera ya CCM mpaka ndani ya kanisa kitu kilicho anza kuwakera waumini.
Kama vile haitoshi,CCM wakaomba kusoma risala fupi ya marehemu na hapo ndo kikanuka pale msoma risala alipomalizia kwa kusema kidumu Chama cha Mapinduzi,akaitikiwa kwa mayowe na zomeazomea kanisani ndipo nikaona niwaulize wadau wenzangu wana CCM kua kama hata kanisani tunazomewaaaa!!!!!wapi tutakua salama????
Hakuna sasa nawatoto wa shule wanajua kuwa ccm janga
Kwasababu kanisa linapenda HAKI au? Pengine ulikua na maana tofauti na hiyo nilioitoa!?
Katika hali isiyo ya kawaida tareha 17 july 2013,Chama cha Mapinduzi kilipatwa na msiba kwa kufiwa kada wake ndugu Chombo aliyekua balozi ndani ya mtaa wa Mandu Mashariki hapa jijini Mwanza,mwili ulipelekwa kanisa katoliki kigango cha Mandu kwa ibada,jeneza lilifunikwa kwa bendera ya CCM mpaka ndani ya kanisa kitu kilicho anza kuwakera waumini.
Kama vile haitoshi,CCM wakaomba kusoma risala fupi ya marehemu na hapo ndo kikanuka pale msoma risala alipomalizia kwa kusema kidumu Chama cha Mapinduzi,akaitikiwa kwa mayowe na zomeazomea kanisani ndipo nikaona niwaulize wadau wenzangu wana CCM kua kama hata kanisani tunazomewaaaa!!!!!wapi tutakua salama????
CCM na uamsho ni pete na kidole pia!!!si shangai, Ingekuwa Chdema wasinge zomea kwasababu CHADEMA NA kANISA ni kama pete na kidole