CCM Mwanza kwisha

Nimekuelewa mkuu
 
Ni ukweli mwanza watu hawaipendi ccm hilo hata ccm wenyewe wanajua shida ipo kwa wagombea wa upinzani huwa hawajielewi sijui wanawaogotaga wapi. Huyu wenje alipewa ubunge akalewa akawa anatokea siku za maandamano tu akaanza kuwatukana wasukuma kuwa ni washamba sana na wakabila wakati yeye ni mjaruo na wamemchagua hakuna lolote alilofanya akienda igoma anawambia buhongwa kajenga zahanati kumbe fix na akifika buhongwa anawambia igoma kajenga madarasa kumbe fix


Ushaul chadema wajue kanda ya ziwa kunaendeshwa kwa ukabila waweke wagombea wasukuma siyo kuletana wachaga kama alivyo kuwa kwa kiwia

Ni sehemu moja tu ambayo kuna mbunge wa kabila tofaut napo ni bunda ester bulaya ni msukuma japo napo pana wasukuma wengi

Mayala B
 
Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
Tatizo siyo kupiga kura. Tatizo kura haziheshimiwi. Na hivyo wengi hatutapiga kura. Tena.
 
Vigezo vingine havina maana mbona hata mkutano wa Msigwa Iringa lasti time ulikuwa na watu china ya 1000.
 
Wazo zuri sana la kujenga
 
Jiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
 
Kwa kuongezea pia ni kuwa uelewa wa wapiga kura wa 2015 na 2020 utakuwa tofauti sana maana uvumilivu nao una mwisho
Ccm inajitahigi sana kuchukua majimbo mengi ,utakumbuka kwamba nguvu ya umma wakati wa jakaya iliisaidia sana chadema kuchukua majimbo sasa ni nguvu ya jiwe .
 
Kwahiyo watu chini ya 1000 ni wachache?
Vigezo vingine havina maana mbona hata mkutano wa Msigwa Iringa lasti time ulikuwa na watu china ya 1000.
 
A hungry man is an angry man
 
Jiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Hata Mugabe alikuwa anaongea hivyo hivyo kuwa atatawala milele kisa kapigania uhuru lkn muulize sasa hivi yupo wapi
 
Mh: Mbunge anatimiza wajibu kupeleka mrejesho kwa wapiga kura wake,,
sioni haja ya kuacha shughuri zangu kwenda mkutanoni wakati changamoto zote zinatatuliwa kwa wakati,, Mh: Stan Mabula piga kazi kaka tuna imani na wewe,,,
 
Tume iliishdsha ccm ubunge nyamagana kka hilo halifichk shida ni kwamba turudishe ile hali ya kuwawajibsha kabla hata ya miaka 5 huenda tukaweza kuona maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…