CCM Mwanza kwisha

CCM Mwanza kwisha

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.

Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
FB_IMG_1560065315301.jpeg
 
View attachment 1122332
naona manyunyu ya watu mbele ya mheshimiwa sana,tena watoto wasiojua haki zao
 
Mhe Mabula Mbunge wa Nyamagana hana tatizo. Ni Mbunge mzuri sana.
 
Mkuu mbona mnakimbilia sana kwenye kupiga kura?
Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
 
Back
Top Bottom