Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Kama mtangaza nia wenu mmoja kesho kutwa atatumia zaidi ya bil moja na mnawatangaza nia 23 bado wabunge Wa nchi nzima.
Waziri mkuu aliyejiengua Kwa Kashfa ya Ufisadi Edward Lowasa anayetafuta urais kwa nguvu na Kwa gharama yoyote, ameamua kupitia makampuni yake na marafiki wake wa siri, jumamosi atatumia mil 900 ili kusafirisha, walimu, kulipa waandishi wa habari na magazeti au vyombo vyao, wanafunzi wa vyuo 200 na bodaboda 1000 kumsapoti.
Kampuni hayo ambayo hata kodi yake ni ya mashaka yanachapisha tshirt, vipeperushi na matangazo ya kila namna...ambazo baadhi zimeandikwa maamzi, simama uhesabiwe na baadhi zikiwa na picha ya jambazi hilo huku nyuma kukiwa na Bendera ya Taifa)
Aidha sijajua sheria ya uchaguzi juu ya matumizi mabaya au makubwa ya fedha kwa kutangaza kuchukua fomu tu bado wajumbe wa cc na NEC ambao wameandaliwa bil 50 kwa ajili kikao tu cha kumpitisha.
Kila atakayehudhuria atapewa stika na kila siku magazeti, wahariri, waandishi na tv watafanyakazi ya kumnadi Lowassa.
Kampuni yake ya Monaban ambayo imepewa kazi ya kushughulikia walimu, madaktari na watumishi wa mahakama.
Leopard hii kila kituo cha utalii, wasanii na waimbaji wao watadhaminiwa kwa kazi yao tu ya kuandaa nyimbo na maigizo watapata mil 160
Wedac hii imeandaliwa kazi ya kushushulikia wanec wa zanzibar, usafiri kula, kulala na kila mmoja laptop aina ya Toshiba
Tanform wao ni kujakikisha wanavyuo, shule zote za vyuo watapelekewa laptop, walemavu ambao watapewa bajaj mpya,
Inavyoonekana kuwa Chama cha mapinduzi, kimeandaa mgombea kinayeamini kuwa akiwekwa watashinda na kurejesha heshima ya ccm,mgombea huyo ni Magufuli( waziri wa ujenzi).
Aidha mrithi wa Pinda, atakuwa Mwigullu Nchemba,ambaye ndio atakuwa waziri Mkuu, amechaguliwa ili baada ya kupitishwa John Pombe Magufuli, Mwigullu amsaidie.
Mtonyaji wangu, alisema Mwandosya, Asha Rose Migiro, Makongoro Nyerere na January Makamba( anayetarajiwa kubaki wizara yake,) hao wataunda timu ya kampeni na hawa ndio watakuwa Mwiba kwa kampeni za ukawa.
Aidha, juhudi zinafanyika upande wa Lowassa, chini ya wanec kadhaa wenye nguvu ambao amewaahidi uongozi wa juu,wameapa kufa nae.
Hoja ni hii je, Mgombea ndani ya Timu ya Magufuli ambao wamedanganya Bandari, umeme vijijini, Barabara vijijini hadi Mikoani na wilayani hazijajengwa, watu waliokataa maoni ya wananchi leo walete chupa mpya yenye mvinyo uleule?
Kwa taarifa,Lowassa ameapa, iwe isiwe Lazima awe Rais,atatumia kila mbinu." Wamebadili wakuu wa Mikoa na Wilaya wengi lakini, watanitambua"
Alipoulizwa habari ya Richmond amesema " amewaelewa mbinu waliyomfanyia, hatarudi nyuma,aliwaachia uwaziri Mkuu, sasa wamuachenae atafute timu yake kwenda Ikulu na hakwami!
Wakuu hii ndiyo tifuatifua iliyomo,naambayo Lowassa ameandaa bil 3 kuingia Ikulu, kwani sikitu kwake.