CCM msirudie tena

Mleta uzi.hiv ukimleta diblo dibala,dally kimoko na wapiga gita wote maarufu halaf wawapigie mbuzi gita watawaelewa kwel

Kama huyu hapa. Anawatwangia wenzake ndombolo ya solo
View attachment 187450
Kisha anawagawia Tshirt, kanga na kofia katika mkakati wa kuwalegeza

Hapo wanakuwa wamemuelewa na kukubaliana naye sasa wanakaa na kupata ubwabwa kama mkataba wa makubaliano kuwa kaeleweka
 

Mkuu kila msafara wa CCM huwa haupiti hivihivi kwani chama hiki kinaongozwa na SHETANI na damu ndio huwa malipo yao kwa huyo shetani wanaemuabudu kwani nakumbuka kuna siku nilikuwa kule Igunga na NAPE alipita na gari kule akielekea Shinyanga katika ile issue ya kuwarubuni wale madiwani wa CDM na pale Igunga aligonga mtu na kufariki lakini hakusimama aliendelea na safari na nilimuuliza jamaa yangu akaniambia hakuna hatua yeyote aliyochukuliwa hadi hivi leo.
 
hawa ccm hawana tofauti na mashetani poleni sana wafiwa hawa ccm hukumu yao kwenye kura 2015
View attachment 187467
chukua hatua FUTA DELETE KABISA CCM TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…