Hii ndiyo ccm mpya niionavyo kwa sasa......hawana sera tena....viongozi wake mawazo yao yameganda......wamechoka kufikiri.......matokeo yake wamekufa pamoja na ccm yao.
View attachment 13483View attachment 13482
ccm....ccm......ccm....ccm.....ccm......ccm....ccm

hiyo siyo ccm,angalia kwa makini rangi ya jeneza inafanana(inawiana) na rangi ya vazi rasmi (kombati) la chadema.nadhani ndani ya jeneza hizo wako viongozi wa chadema
Unajua ukweli ni kwamba,
"tusipojichunguza kwa nini hatuendelei wakati tunapata misaada mingi (kitu ambacho sipendi) na tuna rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi za afrika hatutakaa tuendelee daima".
Kikwete atatuachia nchi katika mikono ya wahisani, sera zake hovyo, kauli mbiu usanii mtupu, na hili la kilimo mkwanza hakuna hata kiongozi wa kupigiwa mfano jamani wanataka tulime sisi kisha wale wao keli ni uungwana huo?
nilivyofungua hii sredi kwa hasira,nikajua unataka kuwafyagilia.lol,ngoja nishushe munkari kwanza.
Adui yako mwombee njaa lakini usimwombee kifo,hivi kushindana na maiti ni sawa?Vyama vichuane ndio ushindi wa ujasili.Wakizikwa Makamba atafufuka na chama cha kutetea walemavu (maana hiyo majeneza kuenea wote lazima wengine wakunjwe), katibu wake atakuwa Rostam. Lowasa mweka hazina:smile-big:
Adui yako mwombee njaa lakini usimwombee kifo,hivi kushindana na maiti ni sawa?Vyama vichuane ndio ushindi wa ujasili.