Ccm mpya!

Ndoto yangu i karibu kutimia sasa......naanza kunywa maji na kujipongeza pamoja na watz wapenda amani na maendeleo
 
Kumbe kunawatu paka leo wanawaza ccm kufa?Utakufa ww ccm iko vilevile na sio ccm pekee hata vyama vingine kama vinaweza kushika (HATAMU)kama ilivyo kwa TAA na TANU paka ww unaona CCM leo.watuletee hoja wenye nchi(Raia)Tukiwasoma ktk code tunawapa ardhi ya tz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom