CCM mpya haina majeraha - kauli ya katibu mkuu mpya

chama cha kijana ambocho kinaongozwa na koo sita chaogopeka kwa wananchi .chama mapiduzi huongozwa vyombo viwili ambavyo ni cc na necchama hiki huongozwa na koo zifuatazokoo zenye ushawishi wa kisiasa na zenye feza zenye ushawishi wa kifeza ni 1 koo kikwete ambayo yumo kikwete,mama salma, lizione 2koo ya makamba ambayo yomo makamba, january 3 koo ya msekwa ambayo yumo msekwa na mama anna abbdala 4 koo ya karumu ambayo yumo abedi a karum all karume na fatuma karume koo zenye ushawishi wa kifeza ambazi ni koo ya 5 koo ya lowasa 6 koo ya rostam koo zinazo ongoza kisiasa wengine huja maamuzi wakiwa chumbani na wengine wakiwa nyumbani koo zenye ushawishi wa kifeza huamua nani awe raisi au awe mwenyekiti wa kamati yoyote

CHADEMA mbona inaongozwa na koo moja tu ya Mtei . Kamuelizeni Chacha Zakayo Wangwe aliko ama Zitto kabwe.
 
CHADEMA mbona inaongozwa na koo moja tu ya Mtei . Kamuelizeni Chacha Zakayo Wangwe aliko ama Zitto kabwe.

Kazi ya kupiga umbea ni mbaya sana,nnatamani ufungiwe jiwe la kusagia na kutupwa baharini@Mkama
 
Back
Top Bottom