Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,063
- Thread starter
-
- #21
Huo ujinga wenu wa kuchanganya serikali na chama chenu ndiyo unatukera wengine. Hapa nimesema CCM sasa Ikulu nikafanye nini?Kawatoe uiongoze wewe nchi hii, maneno yako tu vipande pande. Kama unataka cheo si ukagonge hodi Ikulu au?
Kunawaza kwa kutumia tumbo? Mnajiteka wenyewe mnayageuza mamboHichi kinachoendelea CCM hukioni hadi mmefia hatua kutekana nyie kwa nyie tu kosa ni kumkosoa mwenyekiti wenu.
Tueleze kimegawanyika kiipi sababu ni juzi tu walikuwa na mkutano mkuu na wakatimua wale wa mchana wako huku na usiku wako kule,hizo ni ndoto za mchana ,CCM kamwe haitavunjika sababu eti akina Vuvuzela,msomali ,Riz 1wanapiga kelele za kijinga huko bungeni,na CCM sio ya wabunge tu ni ya Watanzania wakulima na wafanyakazi,CCM sio Chadema Allen,toka umeanza kutunga hadithi zako za Paukwa pakawa kuhusu CCM ,CCM ndio inazidi kujiamarisha wakati wewe unazidi kuzeekaSasa ni dhahiri shayiri kwamba Chama Chama Mapinduzi kimegawanyika sana na kile kinachoonekana kama ni utulivu ndani ya chama hicho ni hofu, woga, Mzizimo na kuviziana kwa kiwango cha hali ya juu sana. Sasa chama kilichogawanyika namna hiyo kinawezaje kuongoza nchi yetu kiufanisi?
tatizo hawananaga memory kabisa yaliyotokea tu wiki moja iliyopita wanayasahauπππDah... Watu wajinga hawawezi hata kuvuta kumbukumbu,
Kipi hasa kinachokufanya useme ccm wamegawanyika?
Umesahau walivyo wasulubu chadema kwenye ishu ya wabunge wa EAC? Tena juzi tu hapa?
Kumbukumbu tunayo tena sana, ila vipande vya CCM vipo kitambo sana isipokuwa kinachowafanya nyinyi kuona kwamba CCM ni moja ni yale mabavu ya dola yanayowafanya wana CCM wajikusanye pamoja hata kama si wamoja!tatizo hawananaga memory kabisa yaliyotokea tu wiki moja iliyopita wanayasahauπππ
Bashite ndio steling wao naskia kila cku ucku yupo magogoni namzee naomba cku moja spate ajali ucku then nisikie alitoka wapChama cha watekaji nasikia bashite kavamia tena Sinza n kufanukiwa kupora pesa
Huo ujinga wenu wa kuchanganya serikali na chama chenu ndiyo unatukera wengine. Hapa nimesema CCM sasa Ikulu nikafanye nini?